Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000)
Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC
Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
Huwa napata uchungu sana pale nikiwa natembea bara barani halafu nakutana na mtu mwenye ulemavu akiwa na bakuli anaomba omba,
Wazo langu kwakuwa sisi watanzania hatunaga baya pale tunapoona serikali inatoa msaada basi serikali itenge maeneo maalumu ya watu hawa na iwatengenezee miundombinu ya...
#Mkoa watajwa wa Tatu kwa wingi wa Madini nchini.
Ruangwa - Lindi
Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji yanayoendelea Mkoani Lindi yametajwa kuufungua mkoa huo kiuchumi na kuongeza fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt...
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
Hospitali hii imekuwa ya ndugu wa madaktari, manesi na washkaji zao..
Tangu afe Magufuli huduma za hospitali Rufaa Mkoa wa Ruvuma zinatolewa kwa kujuana sana, ndugu wa watoa huduma hospitalini madaktari na manesi pamoja na washkaji zao wao kwa wao wanaingia na kutoka sisi wengine tumekaa tu...
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa.
Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
📍Igunga, Tabora
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa.
Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
Anonymous
Thread
jamii
kilichotokea
kuhusu
meneja
mkoa
serikali
songwe
takukuru
tanroads
tuhuma
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo...
Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi .
Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari.
Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi.
Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni.
Mnyonge...
Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini.
Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber Bin Ally amemsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Simiyu, Mahamoud Salum Kalokola kutokana na kukiuka maamuzi halali na maagizo ya mkutano Mkuu ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa uliofanyika Juni 10, 2023.
Baada ya maamuzi hayo Khadhi wa Mkoa wa Simiyu, Issa...
Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako.
Hii ni heshima kubwa...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ameushauri uongozi wa Mkoa wa Tanga kushirikiana na Taasisi husika kutatua changamoto za wanazopata wafanyabiashara wa Jiji la Tanga.
Dkt. Kijaji ameyasema hayo Agosti, 3 2023 alipokua na wafanyabiashara Jijini Tanga kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.