Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni...
Salaam Wakuu,
Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara.
Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India.
Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba...
Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa...
Tunajua kuna Nguvu kubwa sawa na ile kanuni ya Newton 3rd law of motion maana kila hili likiwekwa hapa wahusika wanajitahidi nao kulizima, moderator mnapaswa kuwa sauti ya wasio na sauti kwa kweli maana hili jukwaa ni huru.
Hoja ni hii, wakazi ndani ya mtaa wa Viziwa ziwa (VIMISA) Kibaha mjini...
Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
Wana JF
Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu.
Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara ya Katibu Mkuu CCM, Ndugu Daniel Chongolo katika Mkoa wa Katavi iliyolenga kukagua utekelezaji wa...
CHEGE CUP NGAZI YA MKOA KUANZIA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 2023 NDANI YA WILAYA YA RORYA MKOA WA MARA
"Nimeamini tunaweza kutengeneza timu nzuri sana ya Wilaya ya Rorya na tukashindana kokote. Michezo ya leo siyo mwisho, lengo ni kukimbizana na Michezo ya Fainali ambayo tunaenda kuandaa Chege Cup...
Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.
Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu.
Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
Anonymous
Thread
jana
kigoma
kijiji
maovu
mauaji
mkoa
nguvu
rpc
tarehe
Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi?
Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA
CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
Racial abuse in gymnastics: Irish body apologises after racism controversy involving young gymnast
AFP
"We would like to unreservedly apologise to the gymnast and her family for the upset that has been caused by the incident,” said a statement by Gymnastic Ireland (GI) posted on its website...
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.
Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
Sisi Watarajali (Interns) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Hospitali ya Mawenzi) tunapitia katika changamoto zenye kuleta ugumu mkubwa katika maisha yetu ya kulitumikia Taifa katika kutoa Huduma za Afya.
Tunapambana kwa juhudi kubwa katika kutoa Huduma za Afya hapa hospitalini...
Anonymous
Thread
hospitali
kilimanjaro
kujikimu
madaktari
mitaani
mkoa
posho
Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20.
Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport.
Yaani zile...
Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.
Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo...
MBUNGE AGENS MARWA ACHANGIA UJENZI NYUMBA YA KATIBU UWT MKOA WA MARA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa amekabidhi mifuko 10 ya Saruji katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Mkoa wa Mara ikiwa ni sehemu ya matofali 1000 pamoja na laki tano (500,000) zilizotumika kununua...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Monduli ambapo amechangia vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine), kwaajili ya kukamilisha ukarabati wa Ofisi ya Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya...
MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.