Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi!
Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti, kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimefanya nikione kama chuo cha magumashi...
Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo.
Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza Waziri wa Uchukuzi, Naibu Waziri na Watendaji wote wa Wizara ya Uchukuzi kwa kazi nzuri wanayoifanya"...
Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa.
Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano.
Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?
Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu, Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpka...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu.
Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpaka...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.
#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
Ni vema kusema ukweli. Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Geita ni mfano wa kuigwa. Wananchi wengi wa Mkoa wa Geita wamekuwa wakifuatilia HATI zao kwa muda mrefu bila mafanikio. Kila ukienda unaambiwa njoo kesho, tunaishughulikia, faili halionekani n.k.
Kamishna mwenyewe alifunga safari mwenyewe...
Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
Shemsa Mohammed (Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu): Tusiwadharau Mabalozi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa Chama hicho kutowadharau viongozi wa ngazi ya chini wakiwemo Mabalozi ambao wamekuwa mstari wa mbele kushawishi wapiga kura...
RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka
UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa Wananchi wa Mkoa huo kutunza mazingira kwa wivu...
MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA.
BUKOBA KAGERA.
Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye aliingia kwa uchu na matumaini ya kuwasaidia vijana. Lakini baada ya muda mambo yamekuwa tofauti sana...
Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati!
"Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani Longido wanatembea zaidi ya Kilomita 35 kutafuta huduma za afya. Je, ni lini Serikali itaunga Mkono...
SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.