mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umenikosha sana leo sakata la wafanyabiashara Kariakoo

    Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo. Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
  2. briophyta plantae

    Mkoa gani unastahili kuwa na jiji litakaloandaliwa kuwa nembo na kielelezo cha taifa?

    Katika kuhamasisha utalii na kuitangaza nchi yetu na miji yetu, mnaonaje serekali ingeweka mpango mkakati katika baadhi ya miji kuiandaa kuwa nembo ambayo kila mtu atakapofika kwenye miji hiyo asiache kuondoka na kumbukumbu nzuri ya kwenda kuelezea. Mji utakaokuwa ni kielelezo cha:- 1.historia...
  3. cold water

    Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  4. Journalists

    Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  5. Yoda

    Makundi ya mkuu wa mkoa au wilaya kujikita katika kupambana na ukahaba.

    Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo. 1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
  6. ndege JOHN

    Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

    Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
  7. Tajiri wa kusini

    Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

    Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani? Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo...
  8. Tajiri wa kusini

    Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

    Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani? Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo...
  9. kipara kipya

    Hatutazungumza mageuzi Mkoa wa Kilimanjaro bila kumtaja Ndesamburo

    Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea! "Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni nia ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na tukizungumza nia ya mageuzi tunamzungumzia mzee Ndesamburo...
  10. GENTAMYCINE

    Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  11. L

    Mkuu wa Mkoa Chalamila: Nimeacha ubabe

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa. Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
  12. C

    Wapi naweza pata Boom Sprayer ya kukodishwa mkoa wa Katavi?

    Habari wadau, Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
  13. peno hasegawa

    Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  14. Roving Journalist

    Mganga Mkuu wa Dar: Watoto wanaozaliwa Dar es Salam kwa siku ni zaidi ya 430

    Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali. Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
  15. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi awapa onyo Wanunuzi wa zao la Pamba

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvus Mrindoko amewataka wanunuzi wa zao la Pamba kuhakikisha wanalipa pesa za wakulima kwa wakati ili kuwafanya wakulima wa zao la pamba kutokata tamaa ya kulima zao hilo. Mrindoko ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa mauzo ya zao la Pamba katika Kijiji cha...
  16. L

    David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

    Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake. Chuma David...
  17. Miss Zomboko

    Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
  18. Stephano Mgendanyi

    CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa

    CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa ameanza ziara rasmi akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Rukwa itakayohusisha Mikutano ya ndani na Mikutano ya hadhara kuanzia tarehe 02 - 06 Juni, 2025. Ziara inalenga kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata...
  19. peno hasegawa

    Ninaomba mwenye CV ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu

    Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu. Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani? Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza. Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...
  20. miamiatz

    SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
Back
Top Bottom