mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
  2. milele amina

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro anatakiwa kuwa na sifa hizi

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama digrii katika fani zinazohusiana na elimu, siasa, au sayansi ya jamii. Ingawa umakini zaidi...
  3. T

    Wenyeji wa Masasi Mtwara naombeni ufafanuzi wa haya

    Wakuu kwema.! Wiki ijaona natarajia kusafiri kwenda wilaya tajwa hapo juu natokea mvomero, Morogoro, nitakuwepo huko kwa siku 21 Naomba kuuliza machache, Usafiri wa kwenda huko unaanzia Moro ama Dar kama natokea mvomero? Gari gani zinaenda huko? Nikiondoka asubuhi naweza kufika siku hiyo hiyo...
  4. luambo makiadi

    Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri...
  5. Kigoma Region Tanzania

    Nembo Mpya ya Kigoma Region Tanzania | Jumuiya ya watu wa Kigoma

    Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024 LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma. Imeundwa Kwa Gharama ya Tsh 110'000 + 30'000 za usajili. Nembo imeshakabishiwa BRELA kwa ajili ya usajili. NEMBO...
  6. BabaMorgan

    Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia.. Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
  7. Erythrocyte

    Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Taarifa kamili hii hapa
  8. D

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga jitafakari, unakigawa chama kwa safu yako

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia. Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa...
  9. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

    Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
  10. C

    Nipo tayari kulitumikia Taifa langu kama Kiongozi katika ngazi ya Wilaya au Mkoa

    Wasalaam! Katika kipindi hiki cha mabadiliko na changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania, kuna hitaji kubwa la viongozi wenye maono, dhamira, na ujasiri wa kuleta maendeleo chanya. Mimi, kama mwana-Tanzania mwenye ardhi ya mzizi na dhamira ya dhati, nipo tayari kuchukua jukumu hilo kama...
  11. Usher-smith MD

    KERO Serikali ya Mkoa wa Dar Es Salaam inampango gani na foleni ya Mbagala

    Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala. Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara...
  12. GENTAMYCINE

    Kwa Mkoa huu wa Mtwara hapa niwaambieni tu Ukweli Serikali kuwa mnapoteza muda wenu

    Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Masasi mkoani Mtwara wamelazimika kuweka sahihi za kuingia mikataba ya kuhakikisha vijana wao wanafanya vizuri kwenye mitihani yao. Lengo la mikataba hiyo ni kuwabaini baadhi ya wazazi wanaowarubuni watoto wao kutofanya vizuri, kwa madai ya kushindwa...
  13. mdukuzi

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
  14. LA7

    Katika mkoa wangu nilipo sioni tena barabara mpya zikiwekwa lami

    Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer kadhaa unakutana na camp ya wakandarasi.
  15. Stephano Mgendanyi

    Wanu Hafidh Ameir achangia Milioni 10 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Rufiji

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi...
  16. Foffana

    Shule zangu 3 bora za serikali mkoa wa Dar es Salaam

    Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam. Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka kumuhamisha nashauri uwapeleke shule hizi Shule hizi zinaongoza kwa kufanya vizuri katika mitihani...
  17. Matulanya Mputa

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  18. Mshati940

    Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  19. GoldDhahabu

    Mkoa wa Arusha haina msemaji?

    Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa sumu kutokana na kuhatarisha maslahi ya "mafisadi" fulani. Kwa kipindi chote tokea hizo tetesi...
  20. N

    Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Back
Top Bottom