Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
Heri ya mwaka mpya wakuu
Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na...
Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee.
Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa.
Arusha sina hamu
Pongezi nyingi ziwafikie Polisi wote wanawake Mkoa wa Manyara. Mmefanya jambo la utu. Kuwemo kwenye magwanda ya kijeshi hakujawaondolea moyo wa huruma.
Asanteni sana. Nimeguswa mno na hilo mlilomfanyia huyo mama mjane.
Najua mliwashirikisha askari wa vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya.
Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini inakuwa talk of the town!
Dunia imekuwa ikisimama mara kwa mara kwa ajili ya Israel.
Kilimo, sayansi, biashara, uchumi, Vita, ubunifu wanaongoza.
Mataifa mengi makubwa na madogo yanaenda kujifunza Israel.
Kuna mwaka Bara nzima la Africa...
Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini?
Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
source >>...
Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar.
Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA.
Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja.
Dar 70= Rukwa 1.
Dar 75= Tabora moja
MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.
Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya.
Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa!
Umeme umekuwa anasa!
Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera).
Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha.
Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri,
Huyu mama nisipomsifu ntakuwa nimemnyima maua yake kwa kipindi hichi cha mwisho wa mwaka. Saluti nyingi kwako ACP wa mkoa wa Singida kwa kuziishi taratibu na sheria za jeshi la polisi la Tanzania.
Siku ya jumamosi nikiwa katika moja ya mihangaiko yangu ya kutwa...
Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko?
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali...
Asalaam aleykum,
Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!....
Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.