mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Vyombo vya habari tumeachana na Msiba wa Kariakoo tunaposti habari za Mkuu wa Mkoa; utu umezimwa na pesa

    Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake. Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari. Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila...
  2. Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  3. P

    Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

    Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri. Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
  4. Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha, Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
  5. R

    Aina za ultrasound machines na bei zake

    Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku. Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake. Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.
  6. F

    Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea

    Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea, kubwa zaidi ni kwa ajili ya usafirishaji wa Korosho ghafi kuelekea nchi za India, China na Ulaya jionee mwenyewe baadhi ya picha.
  7. I

    Mkoa gani unajivunia zaidi Tanzania?

  8. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  9. K

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya Habari wakuu... Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship ya mwaka mmoja,kiasi changu cha pesa ni milioni mbili ivi.
  10. T

    Mkoa uliong'aa (THE SHINY BUKOBA) Leo hii Umekuwa Mkoa Mweusi (THE DARK BUKOBA) kwenye kila sekta ya Maendeleo;Nini Kimetokea kwa Nshomile Hawa

    Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha...
  11. Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

    Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya. Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
  12. L

    Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  13. Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  14. Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  15. Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

    Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri! Inawezekana mkoa...
  16. LGE2024 Zangina, Katibu Uenezi CCM Mkoa wa Morogoro Alipokuwa Ifakara Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
  17. Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  18. KERO Vyoo vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar vinahitaji maboresho, angalia hali ilivyo

    Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa wanasahau kujitazama wao. Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  19. N

    KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  20. Wenyeji na wazoefu wa mkoa wa Mtwara naombeni Shule

    Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana, Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao (Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…