Hi
Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu.
Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote.
Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali.
Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI SINGIDA//BILIONI 93 ZIMETOLEWA UWEKAJI TAA, UJENZI BARABARA NA MADARAJA
Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi...
🗒️ 08 June 2024
📍UVCCM HQ
Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali kawaida (MCC) amehimiza Uzalendo, Upendo, Umoja, na mshikamano, Miongoni mwa wasomi na kujitoa katika kutekeleza Majukumu yao na ya kukijenga Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya zake...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji...
Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
TANROADS YAWEKA KAMBI KUREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA TINGI-KIPATIMO MKOANI LINDI
Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Lindi imeweka kambi ili kuhakikisha unarejesha mawasiliano katika barabara ya Tingi hadi Kipatimo wilayani Kilwa ambayo iliathiriwa na mvua za El-Nino na kimbunga...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) kesho Jumatatu Mei 20, 2024 ataanza ziara mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo na kutatua kero za wananchi.
TAMISEMI ni Wizara Injini ya Taifa inayomgusa kila...
Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile.
Mi naanza na huyu..
Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji
Ijumaa, Mei 10, 2024
Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba.
Muktasari:
Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga
Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga aliyetaka kufahamu, Serikali ina mpango gani kutatua changamoto ya ajira kwenye Miradi ya Kimkakati...
Taasisi ya Victoria Foundation kwa kushirikiana na Orica Tanzania inatekeleza mradi wa hatua kwa hatua uitwao Binti Ng'ara, kwa ajili ya kumsaidia mtoto wa kike kupata taulo za kike za kumuwezesha Binti aweze kwenda shule wakati wote hasa wa siku zake za Hedhi.
Katika hafla ya Ugawaji wa Taulo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MLIMBA MKOANI MOROGORO
Mobhare Matinyi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mlimba, Morogoro, Alhamisi, Aprili 11, 2024: Saa 10:30 jioni.
1. Leo Alhamisi ya tarehe 11 Aprili, 2024, Kamati ya Kitaifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.