mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  2. Edsger wybe Dijkstra

    Natafuta mwalimu wa computer mkoani Mwanza

    Natafuta mwalimu wa kufundisha kozi ya basic computer applications katika chuo kimoja jijini Mwanza. Kama una hii skillset karibu pm
  3. LIKUD

    Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023 @AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya...
  4. LIKUD

    Ushauri kwa watu wa mkoani wanaoishi Dar: Pangeni mjini na nje ya mji

    Mwaka 2020 jirani yangu alifukuzwa na mama mwenye nyumba wake (muhaya) usiku. Alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuwa na pa kwenda. Kwa kuwa alikuwa na mazoea na Mimi (tulikuwa tunakunywa wote plus wote Yanga) akaja kuomba msaada kwangu. Msaada nilio mpa: 1. Nilimpa Hifadhi yeye na...
  5. syndicate

    DOKEZO Tabora Mjini hali tete, mafuta hakuna! Maji hakuna

    Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta! Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi...
  6. Pfizer

    Huduma za TGC kivutio maonesho ya madini na uwekezaji mkoani Lindi

    Ruangwa - Lindi Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda la Wizara ya Madini. Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na TGC kutokana na madini mbalimbali zilizopo katika...
  7. Melki Wamatukio

    Tupeane location za studio za Picha nzuri (HD) mkoani DSM

    Labda ukawa unafahamu studio inayopiga picha kali, kubwa na zenye ubora wa kiwango cha juu kwa ajili ya biashara ama mitandao ya kijamii mkoani DSM Tupeane Location, gharama pamoja na picha ya mfano wakuu N.B: Usiweke mawasiliano ya aina yoyote ya photographer kwenye huu uzi. Sio maalumu kwa...
  8. dvj nasmiletz

    Natafuta waimbaji wa live band katika baa yangu mkoani DSM

    NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji au karaoke. Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo...
  9. BARD AI

    Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

    Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva...
  10. Kigoma Region Tanzania

    Mchezaji kutokea Mkoani Kigoma akutana na Leonel Messi uso kwa uso uwanjani

    Huyu ndio Mwana Kigoma Makali ya Bernad Kamungo yalianzia hapa katika uwanja huu wa Nyarugusu, kwenye ardhi ya mkoa wa Kigoma. Alizaliwa January 1, 2002, Kasulu kijiji cha Nyarugusu. ........... Hapa ni Kigoma Kasulu, Huu ndio uwanja wa Nyarugusu ambapo makali ya Bernard Kamungo yalianzia...
  11. Mganguzi

    Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  12. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  13. BigTall

    DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
  14. Kigoma Region Tanzania

    Leo nimekuletea historia ya 'AIFOLA' kutokea hapa mkoani Kigoma

    Katika picha hii utapaona 'Aifola Beach' ambayo ipo hapa mkoani Kigoma. Kwa muonekano utaona kwenye ufukwe wa ziwa kuna miti mirefu imejirundika karibu na ziwa Tanganyik maeneo ya Burega. Burega, muonekano wa mbali Miti hiyo imepandwa miaka mingi sana na imepandwa kwa mstari ulionyooka japo...
  15. benzemah

    Rais Samia Kuongoza Siku ya Mashujaa Julai 25 Mkoani Dodoma

    Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023. Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
  16. GENTAMYCINE

    Kwanini Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) ni Wagumu 'Kurogeka' na Wanawake kama wa Mikoa mingine?

    Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi. Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma )...
  17. Kigoma Region Tanzania

    Kwasasa itakugharimu TZS 27,600 tu kama nauli ya kufika hapa mkoani kwetu Kigoma

    Kusafiri na reli ni zaidi ya safari, maana utapata fursa ya kuona mandhari nzuri ya nchi ya Tanzania, uoto wa asili, mbuga za wanyama, huduma bora za chakula katika mgahawa ndani ya treni pamoja na huduma za afya. Usafiri umepangiliwa kwa kuzingatia ratiba zilizowekwa kwa mpangilio...
  18. BARD AI

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  19. USSR

    Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  20. Kigoma Region Tanzania

    Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
Back
Top Bottom