mkongo wa mawasiliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania TTCL: Mpaka sasa tumefikisha Mkongo wa mawasiliano wa Taifa katika wilaya 121 kati ya 139 Tanzania Bara

    Mkurugenzi Mtendaji wa TTCL, CPA Moremi Marwa, akizungumza leo Aprili 10, 2026, wakati wa uzinduzi wa minara 758 ya mawasiliano na uunganishaji wa mkongo katika wilaya 85, Marwa amebainisha kuwa hadi sasa mradi huo umeshafikia wilaya 121, ambayo ni sawa na asilimia 82 ya utekelezaji nchi nzima...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anazindua Minara 758, maunganisho ya mkongo wa mawasiliano katika Wilaya 85 na kukabidhi mkongo wa Mawasiliano Serikalini

    https://www.youtube.com/watch?v=5WA-NCdESww Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na kukabidhi Mkongo wa Mawasiliano Serikalini, tarehe 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.
  3. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mkongo wa mawasiliano: Tanzania kilometa 13,820, Kenya 13,590 na Uganda ni 10,200 tukisema Rais Samia ni Asset kwa Taifa muwe mnaelewa

    Nyie machawa, Hii ni kweli ? Mkongo wa mawasiliano: Tanzania kilometa 13,820, Kenya 13,590 na Uganda ni 10,200 tukisema Rais Samia ni Asset kwa Taifa muwe mnaelewa, NB, Leo nimeamua kujiunga rasmi na CCM msiniulize ni kwanini.
Back
Top Bottom