mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwanini Waislam tunaunga mkono wa Palestina?

    1. Waislam ni ndugu. Hii ndio imani ya waislam 2. Waislam wapenda haki. Isreal imevamia ardhi ya watu wa Palestina na kuwanyanganya 3. Masjid Aqswa hawawezi kuwachiwa mayahydi waifugie nguruwe 4. Adui mkubwa dunia ni myahudi. Kwa hivyo waislam wanahaki ya kujilinda. Allah aware ushindi waislam...
  2. Mbona mnapindisha, kura ilikuwa kwa ajili ya "Humanitarian truce", sio uungwaji mkono wa Palestine

    Aidha tatizo ni kutoelewa kingereza au nini haswa, wengi wameelewa kwamba ile kura iliyopigwa kusitisha vita ili kuruhusu misaada iwafikie wahanga, kwamba hiyo ina maana wameunga mkono Palestine au maugaidi ya HAMAS. Kingine msiolelewa kingereza, mkatafute mtu awatafsirie nini maana ya...
  3. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  4. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  5. B

    Ni ngumu sana jambo lisilo na Goli la Mkono kwa Tanzania (Watanzania) kuleta ushindi

    Ukifatilia katika mambo mengi hapa Tanzania iwe kwenye siasa, michezo, uchumi au hata mahakama au kesi, katika kila jambo ambalo Mtanzania yumo kama hilo jambo halitoi mwanya wa Rushwa, Upendeleo au kwa lugha ya Mh. Nape Goli la Mkono basi hilo jambo ni ngumu sana kufanikiwa. Nakumbuka enzi za...
  6. Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

    Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa. Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani. Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni...
  7. Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  8. Hamas waungwa mkono na wengi kote duniani

    Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo imeonekana Marekani,China mpaka Japan. Huko Uiengereza na Ufaransa kumekuwa na kishindo kikubwa cha...
  9. Floyd Mayweather asema "Nasimama na Israel"

    Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha mshikamano wake na watu wa Israel. Bingwa huyo wa zamani, anayejulikana kwa jitihada zake za kutoa...
  10. Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

    Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo. Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
  11. P

    Angalieni TANESCO walivyokua na dharau, wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha na wananipa ahadi za uongo

    Kwanza wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha mteja wao, pili dharau kejeli na uongo nilipowasiliana nao, tatu ahadi za uongo, inne huduma mbovu. Majina ya customer care ninayo, muda na namba na tiketi za report ninazo, namba za simu za mafundi walioniahidi wanakuja ndani ya saa 24 ninayo...
  12. Yemen na Iraq waionya Marekani kuiunga mkono Israel. Watalenga maslahi yao

    Huku viongozi wa Marekani wakitoa matamko ya wazi ya utayari wao kuisaidia silaha zaidi Israel na kivitendo imeshasogeza meli za kivita kwenye bahari ya mediteranean karibu na Israel.. Viongozi wakubwa wa mataifa ya Yemen na Iraq wameionya Marekani dhidi ya uingiliaji kati wake huo. Huko Iraq...
  13. Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

    Palestina, Julius Nyerere na mshikamano wa kimataifa Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia] Binafsi huwa sikubaliani na Nyerere katika mambo mengi, lakini hili la palestina na la ukombozi wa Afrika nililiunga mkono 100%. "Ninaamini...
  14. Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

  15. B

    Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

    Jitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo. Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi. Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi? Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote: Hapa ndipo zilipo tofauti zetu...
  16. R

    Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

    Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani. Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
  17. Mapinduzi ya kilimo hayataletwa na jembe la mkono

    Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
  18. B

    Pre GE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  19. Kuwashwa Kwa kiganja cha mkono na kucheza Kwa jicho kunakupa taarifa itakayotokea

    KUWASHWA KWA KIGANJA CHA MKONO NA KUCHEZA KWA JICHO KUNAKUPA TAARIFA ITAKAYOTOKEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nafsi yako inañamna mbalimbali za kuwasiliana na wewe(mwili wa nje) Kwa namna mbalimbali. Namna maarufu ni pamoja na ndoto za Usiku ukiwa umelala. Hutumia ndoto kuwasiliana na...
  20. V

    DC Kiteto anafumbia macho suala la wafugaji kulisha mashamba ya wakulima wilayani

    Ugomvi wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto unachangiwa kwa kiasi kikubwa na Viongozi wa Wilaya kuwasadia jamii ya wafugaji kulisha Mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima. Na wanapata nguvu kubwa kwa DC Wa Kiteto ameweka wazee upande anauoupendelea kwenye sakata hili. Mwaka huu wakulima wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…