Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas.
Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho.
Fuatilia utagundua hilo
Anapendwa na anakukubalika na wengi, bara na visiwani. Anaahidi anatekeleza. Anasema na anatenda, matokeo yanaonekana kwa uwazi.
Mbegu bora za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya wadudu vinapatikana kwa urahisi na kwa wingi wa kutosha. Mwaka huu wa kilimo ni kutoboa bila mbambamba, ashindwe...
CDE. REUBEN SAGAYIKA AWASHIKA MKONO WATOTO YATIMA KUELEKEA MWAKA 2024
Ndugu Reuben Sagayika ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa pamoja na Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Geita, Ndugu Mery Mazula wameongozana na viongozi mbalimbali wa CCM tarehe 31 Disemba, 2023 na...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye mapenzi na mziki.
Nimebobea kiasi kuandika nyimbo za dini na kwa sasa nimefocus pia (bado najifunza) kwenye production (kutengeneza beats), japokuwa sina vifaa zaidi ya pc tu.(najitafuta)
Kwa vile jamii forums kuna watu wa aina tofauti ninaomba kama kuna...
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa.
Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango...
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia...
Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy.
Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania
====
A group of youth on Thursday flocked the streets...
Salaam, Shalom!!!
I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani.
Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa. Likewise wanasiasa wa Kuzaliwa wasizuiwe.
Katika umri wa kuanzia miaka 4 Hadi mitano, tayari unaweza...
Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo...
Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel.
Kwa mujibu wa utafiti huo ambao umefanyika pande zote za Palestina,jumla ya 72% ya waliohojiwa wamesema...
Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila
---
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapongeza wamiliki wa baa na kumbi za starehe kwani uwekezaji wao umetoa ajira kwa watu wengi, na kwamba wakati mwingine ladha ya bia inategemeana na mhudumu.
Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara.
Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
Moja kwa moja..
1. Kwa nini nawalaumu Hamas ?
Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia.
Ninapowapinga ni njia...
Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre.
Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
Wanaukumbi.
https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE.
Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA
(thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .
Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini.
Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
Wakuu habari za jioni.
Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani.
Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu.
Hili sio kwa wanawake tu, hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.