Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.
Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni muhimu kuchunguza historia ya mgombea anavyotekeleza ahadi zao za kampeni...
ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa hukumu za Kifo.
Waziri huyo amesema uamuzi huo unatokanana na Maoni ya Wananchi ambapo wengi...
Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43).
Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa
Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini useme upikie chakula
Huo mkono wa sweta laba uupige stepla iwe condom
Nauza Viwanja kwa bei nafuu .
10 kwa 10 ml 1500000
15 kwa 10 ml 2500000
Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami
Ndani kwa ndani
Ml laki 1 unapata 10 kwa 10
20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml
Heka
Inaanza ml 50 nusu heka ml 20
Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5...
Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu.
Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo.
Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja
Sasa nauliza...
Kwa muda mrefu sasa jumuiya ya kimataifa imeendelea hatua kwa hatua kuitambua sera ya kuwepo kwa China moja kama ilivyo kwenye sheria ya kimataifa, sera inayosema kuwa kuna China moja tu duniani, na Taiwan ni sehemu isiyotengeka ya China. Nchi mbalimbali duniani ambazo kwa sababu moja au...
Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi zinazotuongoza kuchagua na kukipenda chama fulani cha siasa?
Moja ya sababu kuu inaweza kuwa ni sera na...
Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema ya 24/1/2024 na kutoa sababu za kufanya hivyo.
Shibuda ambaye amewahi kuwa kada wa Chadema na...
Ni kuchanganyikiwaaa au vipi
Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye
Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini,
Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA
Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari
Hesabu ya leo inaonyesha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ameyasema hayo akiwa katika ofisi ya chama hicho mkoani humo ambapo amesema agiza la...
1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake.
3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi.
Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.