mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
  2. Kuna Evidence kwanini Rais Samia kasema wananchi hawajui katiba NAMI naunga mkono👇

    Iko hivi! Rais na chama chake wamepiga matukio mengi ambayo Raia wangeakua wanatambua haki zao kikatiba CCM ingeweza kuwa historia hivi tunavyo ongea. Kwa uchache . 1 ufisadi mkubwa awamu mbalimbali za utawala wa CCM wananchi wamekaa kimya. . 2. Wizi wa kura wa wazi wazi wananchi kimya. 3...
  3. S

    Mkutano wa G20 Waunga Mkono Kujengwa Reli ya Kutoka DRC na Zambia Mpaka Angola

    Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola. ===== African Union now a permanent G20 member The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday. There was...
  4. Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  5. A

    Nimeota robo robo fc atapigwa mkono na al ahly kwenye mechi ya ufunguzi, AFL, October, 5 kwa Mkapa

    Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
  6. Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  7. Naibu Waziri Sagini - Mkono wa Dola Utawashukia Wahalifu Awe Mkulima Au Mfugaji

    NAIBU WAZIRI SAGINI - MKONO WA DOLA UTAWASHUKIA WAHALIFU AWE MKULIMA AU MFUGAJI Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa Serikali kupitia Jeshi la Polisi haitakuwa na uvumilivu juu ya Mwananchi yeyote awaye Mkulima au Mfugaji ambaye analengo la kuvuruga...
  8. Siungi mkono Vipengele vya Mkataba wa DP lakini Rais Samia pekee ndiye mwenye Uwezo wa kutuvusha 2025-30

    Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na uwekezaji kutokana na maamuzi ya Rais Samia kufungua uhuru wa maoni ambao ulidhibitiwa na mtangulizi...
  9. B

    Wanaopinga Mkataba kati ya DP World na Serikali wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono

    Habari wana JamiiForums. Rejea kichwa cha habari chahusika. Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania. Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono. Wale wanaopinga...
  10. B

    Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Mambo yanakwenda kama moto wa nyika. Mkataba huu si usitishwe tu? Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki? --- Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  11. Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji. Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
  12. Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  13. KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha. ========= Nukuu ya alichozungumza Askofu Shoo Naomba ieleweke wazi Kanisa linaunga mkono...
  14. Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...
  15. K

    Tumuunge mkono Nadhifa. Hata Magu alikuwa anakasirika!

    Ukweli ni kwamba katibu mkuu aliye tenguliwa ni watu tunao waita “no nonsense” yaani hawapendi ujinga ujinga kama alivyokuwa Magufuli. Lakini tabia hii haitoshi kumfukuza mtu kazi ambaye ni mtaalamu wala sio mwanasiasa. Watanzania wanataka maji safi na bora na huyu hajafika hapo kwa bahati mbaya...
  16. M

    Kijana wa kiherero alivyowatembezea mkono Vasco Da Gama kwenye pwani ya Namibia karne ya 14

    Mzuka wanajamvi! Kati ya makabila yanayopenda na kuthamini Ng'ombe kupindukia ni Herero Namibia, Fulani (Nigeria, Niger, Guinea, Mali, CAR na western Sudan, Maasai, Sukuma na Tutsi. Vasco Da Gama aliandika walipokaribia pwani ya Namibia wakitokea Goa India baada ya kutafuta trade route ya...
  17. Ya Mpwayungu Village kuhusu Mwalimu, yaungwa Mkono na KONTAWA kupitia kibao chake Cha "Mwalimu"

    Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania. Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi ,Makazi, Chakula !!. Hakika ni Tanzania pekee ambapo Mwalimu anaishi Maisha ya Taabu !!.
  18. Kati ya Assad na Paskal nani anatakiwa amuunge mkono mwenzake kwenye jambo la kisheria?

    Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria. Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na...
  19. Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  20. M

    Wananchi wa Niger waunga mkono mapinduzi ya kijeshi. Wanasisa wa Kiafrika wanakuwa vibaraka wa mabeberu na kuwasahau wananchi

    Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe. Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani. Sasa Rais aliyepinduliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…