mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Uturuki yaunga mkono ✋ Ukraine kujiunga na NATO

    Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti hasara. Uturuki inaunga mkono matakwa ya uanachama wa NATO wa Ukraine, Rais wa Uturuki Recep Tayyip...
  2. Rashda Zunde

    Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  3. MSAGA SUMU

    Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  4. FaizaFoxy

    DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  5. mrdocumentor

    Mnaopinga na mnaounga mkono mmeusoma mkataba?

    Bandari imetawanya watanzania katika makundi tofauti tofauti, kuhusu bandari mambo mengi yameibuka Kama siasa, udini, na muungano pia umehatarishwa katika suala hili la bandari. Na sio watu wote waliogawanyika wanafahamu chochote kuhusu mkataba husika kuna wale akina sisi ambao huwa tumezoea...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Bila Shaka mpo Pouwa! Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia. Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
  7. MWANDAMBO

    Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  9. The Assassin

    Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  10. Ngungenge

    Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  11. chiembe

    Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

    SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati yake na Kampuni ya Dubai Port World (DP World). Ushauri huo umetolewa leo tarehe 19 Juni 2023, katika mjadala wa kulinda na...
  12. Pfizer

    Gerson Msigwa ni Kiongozi wa kutoa Elimu na kuelezea Manufaa ya DP World Tanzania. Aungwe Mkono

    Baada ya Gerson Msigwa kutoa Elimu kuhusu azimio la Bunge na Uwekezaji wa Bandari ya Dar, Wananchi sasa wamejua ukweli. Ni Jukumu letu Watanzania kuunga Mkono Juhudi zake kwani waliokuwa wanapotosha kuhusu Uwekezaji wa Bandarini sasa wameelewa ukweli. Watu walidanganywa kwamba Bandari zote za...
  13. T

    Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  14. K

    Wanatumia mkono wa kushoto/mguu wa kushoto tukutane hapa

    Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  16. Roving Journalist

    Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  17. BARD AI

    Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Arsenal yaunga mkono haki za mashoga

  19. FaizaFoxy

    Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  20. M

    TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
Back
Top Bottom