mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanza: Amchoma mkono Mwanaye kisa kudokoa Chainizi

    JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia, Maneno Thomas (35) mkazi wa Chamagati, wilayani Sengerema kwa tuhuma za kumchoma mikono mtoto wake kwa maji ya moto baada ya kumtuhumu kudokoa mboga ya majani aina ya chainizi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza...
  2. J

    Saidi Yakubu: Serikali inaunga mkono Uni Awards

    Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani na nje ya nchi kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa...
  3. Mwanza: Fisi anyofoa kipande cha mkono wa mwanafunzi wa darasa la pili na kuondoka nacho

    Mwanafunzi wa Darasa la Pili katika Shule ya Msingi Kasomeko iliyopo Kata ya Katunguru, Deus Dalama (8) mkazi wa Wilayani Sengerema amejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za mwili ambapo madhara makubwa aliyoyapata ni mnyama huyo kuondoka na mkono wa Deus. Tukio limetokea Agosti 2, 2023 wakati...
  4. Kwanini namuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan?

    Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake. Hizi ni siasa za majitaka ambazo kusema kweli zimeegemea kwenye vihoja badala ya hoja. Kwa upande wangu Mimi Lord...
  5. Programu ya Rais Samia yaungwa Mkono na wadau wa ufugaji kuku

    KAMPUNI ya Silverlands inayoshughulika na uzalishaji wa vifaranga na chakula cha kuku imesema inaanzisha mpango mahususi utakaoishirikiana na Programu ya BBT Mifugo kuunga mkono jitihada za Mheshimwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwawezesha vijana na akinamama katika sekta ya ufugaji ili kukuza...
  6. Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  7. Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

    Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono. Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa. Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa. Skills zangu Project management Resource mobilization Computer...
  8. Siungi mkono wanaomtukana Rais Samia!

    Tabia ya binadamu huwa ni ya ajabu. Ukimuokoa mtu toka mtoni, halafu kule mbele ya safari mtu huyo akipata shida basi bado anaweza kukutusi, akisahau kabisa kuwa nafasi hiyo ya kutusi anaitumia vibaya maana asingefanya hivyo, kama asngevuka mto. Nabii Musa aliwatoa utumwani wana wa Israel na...
  9. E

    Matukio ya nyuma yaliyopokelewa na kuungwa mkono kwa mihemuko na baadae kushindwa kuleta matokeo chanya na hatimae kutupwa

    Ninaanze na: SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA; Kwa kifupi siasa hizi za ujamaa ndo nchi ilianza nazo,siasa zilisema njia kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma, biashara zilifanywe na serikali mfano usafirishaji KAUDO ,KAUMA, SHIRECU ,TACOSHIL na ATC etc, mashirika ya biashara mfano National...
  10. Huu ndo ukweli, "Unconditional love is for women, kids and dogs", mwanaume kama mkono mtupu wewe sahau kupendwa labda usaliti kambi.

    Ndio ukweli huo na kwa kuongezea ni kwamba kuna upungufu wa wanaume wenye mafanikio lakini hakuna upungufu wa wanawake wazuri. Kama huamini pita pale riverside utakutana na viumbe wa kike wazuri, wabichi hadi utajiuliza wanakosaje wanaume wa kuwahudumia au hata wa kuwahonga kazi nzuri hadi...
  11. M

    Ukiongea na wanachama wa CCM faragha (private) hawautaki mkataba, ila wakija public wanauunga mkono

    Hili ni jambo la ajabu sana. Yaani ukiongea na wana CCM tena wale wazito ndani ya chama, wanakwambia huu mkataba ni wa kipuuzi na kuwa sisi kama nchi tumepigwa. Ila wakiwa public kwenye majukwaa wanapongeza mkataba, wanampongeza Samia. Ukiwauliza kwanini, wanakujibu wazi, wanakwambia kuwa hata...
  12. Dkt. Damas Ndumbaro: GSM aliweka mkono lakini timu ikashuka daraja

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro anaeleza sababu ambazo zilipelekea timu ya Majimaji ya Songea kufa licha ya GSM kuwa msimamizi wa timu hiyo ukizingatia amezaliwa Songea. Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
  13. Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

    Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali?? Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
  14. Mbunge Nancy Nyalusi - Wanawake Tumuunge Mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    MBUNGE NANCY NYALUSI - WANAWAKE TUMUUNGE MKONO RAIS SAMIA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi amewataka wanawake mkoani Iringa kuendelea kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake madhubuti na usimamizi wake mzuri wa rasilimali nchi ambao umesaidia kwa sehemu...
  15. Mzungu akikupa cha bure kwa mkono wa kulia piga jicho mkono wake wa kushoto

    Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani. Kama ukiona deal lao ni zuri sana...
  16. Kuna viongozi wa dini kwenye nyumba za Ibada, wanaongoza sala ya kuzuia mkataba wa DP, ajabu wakitoa maoni mbele ya makamera, wanaunga mkono

    Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli, Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD Ajabu ukiitwa...
  17. Kwanini CCM imeamua kukimbilia mikoa ya Kusini kutafuta uungwaji mkono DP World?

    Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii. CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa...
  18. Wananchi Bagamoyo Waunga Mkono Uendeshaji Bandari Dar es Salaam

    Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi. Hayo yalisemwa na Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu, wakati akizungumza na wananchi katika...
  19. Mkono wa kushoto ni dharau, nimfanyaje au nijilinde vipi?

    Habari wanazengo, mimi nina duku duku kidogo kuhusu watu wanopenda kutumia mkono wa kushoto ili hali siyo watu wa mikono ya kushoto. Kuna mwana mmoja mtaani hapa ninapokaa yeye mara nyingi ukikutanana nae mkisakimiana nae yeye huwa analeta mkono wa kushoto na siyo mara moja au mbili like all...
  20. R

    Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

    Ameyasema hayo katika Club House. Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika. Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili. Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…