Wakuu Heshima mbele!
Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto wakike na wamama, lakini Kwanini si kwa watoto wakiume...