UPDATES:
Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam.
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu...
Katika siasa lazima uwe makini sana na matendo na mwenendo wa wanachama chako lakini pia uwe mwepesi kujisafisha na kuweka kumbukumbu sawa pale ambapo jambo lillilotokea lina uhalifu au sifa chafu ndani yake.
Yupo mtuhumiwa aliyehukumiwa hivi karibuni kwa kosa la kumkashifu Mh. Rais wa Jamhuri...
WAKUU
Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri...
Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge umevunjwa, waandamanaji wameonekana wakila chakula na kutapanya kila kitu!
Jengo la Seneti limevunjwa...
Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi .
Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi .
Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili .
Soma pia ...
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA
Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran...
Khairooni ni binti mwenye umri wa miak 27. Nimeamua kuwa mmoja wapo wa washiriki wa SHINDANO LA JAMII FORUMS. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa afya na uhai pia kunijalia nafasi ya kushiriki shindano la "STORIES OF CHANGE" lililoandaliwa na jamii forums lenye lengo la...
Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu.
Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao.
Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine..
Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same,
Kumradhi,
Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan.
Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za...
Wakuu,
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3.
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida.
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa...
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano.
Waziri Nape ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa minara ya...
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.
Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je...
Wakuu Heshima mbele!
Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto wakike na wamama, lakini Kwanini si kwa watoto wakiume...
Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo?
Chukueni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.