Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,432
Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua

Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara mitatu hawajapata, kinyume cha waraka mkuu ambao walitakiwa kupewa likizo ya mwezi mmoja tu bunge lilipovunjwa na kukoma uteuzi wa Tume ya Uchaguzi ulipofanyika kuteua majina .Ila katibu Mkuu utumishi amewapotezea, nikamuuliza jamaa yangu sasa mnaishije?

Jibu la jamaa sasa ,anasema bora na wao wajiunge na kampeni ya No reform No Election [NRNE] October 29 ili kiburi kiwaishe ..Nchi ianze upya

Maana uonevu ni mkubwa ,sasa jamaa akaniambia imefika sehemu watu wanajiona wanaweza kufanya chochote kwa sababu wao wapo kivulini ,wakati wao wanatumika kila namna kuhakikisha Chama chao kinabaki madarakani "unajua brother Nyerere aliwahi kusema wanyonge hawana cha kupoteza kwenye mabadiliko zaidi ya unyonge wao"nimecheka sana

Ila nimejiuliza sana usikute huko kwenye ofisi za Umma wanaounga mkono #NRNE ni wengi ,kila mtu ana sababu zake ngoja tuone

#NRNE ni moto wa chini chini kila anaeonja uonevu anaunga mkono harakati ..
 
Dada karibu kwenye mapanbano tupiganie uhuru wa pili.

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION
 
Mpaka Mgambo?
 
Bila shaka wewe ni mhusika maana Kila siku ulikuwa unasifia CCM
 
Dada karibu kwenye mapanbano tupiganie uhuru wa pili.

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION
Katika hayo makundi uliyoyaainisha hakuna kundi la kipumbavu kama walimu. Yaani wana maisha duni haijapata kutokea lakini yakipewa laki mbili yanaukana kabisa utu wao.

Kwa kundi la walimu wapo wachache sana wanaojiamini na kusimamia haki lakini wengi wao yaani hata wakihakikishiwa kuwa siku hiyo kutakuwa na chakula cha kutosha yaani wanachanganyikiwa sijui nani aliwaloga walimu wa nchi hii.
 
Kasome vizuri mkuu, pindi walipoingia kwenye mchakato walijifukuzisha kazi moja kwa moja na endapo wanataka kurudi ni lazima wapitie kwenye mchakato wa ajira upya.
 
Wangepitishwa kugombea wasingejiunga na hiyo movement ya kudai mabadiliko au sivyo?
Hao hawafai watawauza watu kwenye maandamano yao. Wakipewa malipo yao watatoa Siri zote na majina ya wapambanaji.
Daini haki zenu kivyenu msiwatumie wapambanaji wa kweli.
 
Katika hayo makundi uliyoyaainisha hakuna kundi la kipumbavu kama walimu. Yaani wana maisha duni haijapata kutokea lakini yakipewa laki mbili yanaukana kabisa utu wao.

Kwa kundi la walimu wapo wachache sana wanaojiamini na kusimamia haki lakini wengi wao yaani hata wakihakikishiwa kuwa siku hiyo kutakuwa na chakula cha kutosha yaani wanachanganyikiwa sijui nani aliwaloga walimu wa nchi hii.
Walimu Tanzania na Polisi Tanzania ni makundi maskini sana na ni makundi yanayotumiwa kundamiza wananchi nakuwanufaisha Watawala.Tarehe 29.10.2025 Tunatakiwa kuanzia na haya makundi
 
Jibu la jamaa sasa ,anasema bora na wao wajiunge na kampeni ya No reform No Election [NRNE] October 29 ili kiburi kiwaishe ..Nchi ianze upya
Ndugu kitambo sana
===
NRNE waliisikia mara tu baada ya kunyimwa mishahara ya miezi miwili kinyume na maelekezo ya walaka?
 
....haya makundi
Ikifanya hivyo, utawakosesha furusa halali mawakala wa vyama na wagombea, wasimamizi, waangalizi, na madereva wa kupeleka vifaa kituoni.

Na hawa si Moja ya makundi uliotaja. Na haya makundi yatakulaani kwa kuwakosesha malipo ya kazi Yao halali ambayo yangesaidia kutatua changamoto za kifedha!!!

Unahitaji D mbili kweli kunielewa wapi pafanyiwe kazi, Amani itamalaki?
 
Nimekuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom