Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
Raisi samia anajibeza mwenyewe kwa kauli na matendo yake anapwaya. Huyu atachaguliwa na wajinga tu na siyo werevu.Machifu katika kampeni za RAIS Samia 2025 wametangaza kulaani watu wanaomsumbua Samia katika mitandao ya kijamii na wamehaidi kupambana nao (polepole )
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
Walikuwa madalali wa kuwauza wenzao utumwani hawaHawa machifu ni wachawi tu. Waliamriwa watumie mbinu zao kuondoa matumizi ya inayoitwa nishati chafu (kuni/mkaa)
Matokeo yake watu wanawwza kufa wakiwa kwenye harakati za kuandaa au kutumia nishati hiyo.
(Nimejaribu tu kuwaza)
Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale
Chief amesahau kuna Mungu,Magu alizindikwa juani mchana kweupe watu wanaelea angani mbn yalimkuta yakumkuta.Fanyeni yote ila uovu na damu za watu zitawarudia tu
Nijuavyo mimi wachawi ni viumbe wanyonge sana katika ufalme ule wa giza.Chief amesahau kuna Mungu,Magu alizindikwa juani mchana kweupe watu wanaelea angani mbn yalimkuta yakumkuta.Fanyeni yote ila uovu na damu za watu zitawarudia tu
Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu.Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
SI ajabu ukaroga ukakuta ndani kwako Kuna watu wana- wehuka.Machifu katika kampeni za RAIS Samia 2025 wametangaza kulaani watu wanaomsumbua Samia katika mitandao ya kijamii na wamehaidi kupambana nao (polepole )
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe