Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

Mmekataa au mmenyimwa?
Tangu Rais Mkapa aseme tujitegemee kwenye uchaguzi hadi sasa ni miaka mingapi? Tutawachangisha watu wetu na kutumia rasilimali zetu katika kuchaguana ili tusiingie kwenye mtego wa kuchaguliwa viongozi.
 
Mnataka mpewe hela za msaada wa uchaguzi alafu muwanunulie kina mzee wa ubwabwa wa chauma na mwalimu salimu ma LC 300 sio?

Bora wazungu wakae na hela zao tu
 
Tangu Rais Mkapa aseme tujitegemee kwenye uchaguzi hadi sasa ni miaka mingapi? Tutawachangisha watu wetu na kutumia rasilimali zetu katika kuchaguana ili tusiingie kwenye mtego wa kuchaguliwa viongozi.
Ila mko Tayari Kikwete na wanamtandao wenzake wawachagulie viongozi! (Tufanye ila tusikosee saaaana) Wajinga Wakubwa nyie!
 
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.

View: https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El%5B/URL

View:
Ila mko Tayari Kikwete na wanamtandao wenzake wawachagulie viongozi! (Tufanye ila tusikosee saaaana) Wajinga Wakubwa nyie!
Wewe unga hata mguu sawa tu. Chura kiziwi kila siku anakopa. Hiyo mikopo haina masharti?
 
Ila mko Tayari Kikwete na wanamtandao wenzake wawachagulie viongozi! (Tufanye ila tusikosee saaaana) Wajinga Wakubwa nyie!
Hata mzee huyu aliishia kuorodhesha kero na ubaya wa mabeberu tu akashindwa kutatua tatizo na aliwaacha watanzania ni masikini kwelikweli mbali na tanzania kuwa na madini mengi. Tanzania na Afrika sio masknini kwa uzembe wa viongozi tu. Tatizo la msingi ni wakoloni wetu.

View: https://youtu.be/Dz_LLuilg98?si=wQuOGQ2OcnyOfLPb
 
Tena ndio unachochea moto tuzidi kuwachoma na kuwaona mafisi, wafiraji, watekaji, wauaji. Huku kwetu tulishafuta futa kabisa habari ya CCM.
 
JPM nae aliishia kuorodhesha tu kero kama wengine tu. Hatujaona hela za makenikia wala tanzanite ikibadilisha maisha ya watu. nani aliona hayo matrioni ya hela za makenikia? zililipwa kwenye account gani?

Wanzania tusiwe wapumbavu wa kudanganywa na wahuni, tumsaidie Samia tujikomboe kutoka mikono ya mabeberu. Maana sisi sote tunajua kuwa tunaibiwa shida ni namna ya kuacha kuibiwa. kazi hiyo tusimwachie mtu mmoja tu. Hatua ya kwanza ni watanzania wote tumjue adui wetu namba moja ni nani; mabeberu.
 
Mabeberu gani? Mabeberu kila siku unaenda kutembeza bakuli kwao kuomba unga? Baba saidia maskini' sisi ni maskini? Maadui zetu wamo humu humu wanaoiba raslimali zetu utadhani ni za mama zao
 
Back
Top Bottom