Kwanza ni wajibu wangu nikukumbushe kwamba ninapoandika chochote juu ya bandiko lako natambua bila ya shaka kuwa wewe ni MZOGA; kwa hiyo ninajibu kwa stahiki ya sifa hiyo. Muda wa kujadili kistaarabu kama ilivyo kwa binaadam hai haupo tena kwa mzoga kama wewe.
Sasa kuniambia mimi juu ya ukaribu wa Tanzania na hizo nchi unadhani hapo umekuwa kama umegundua jambo jipya la kulipigia keele?
Ninachojuwa bila ya shaka yoyote, njia zenu (Mizoga yote humu JF) ni ya kuzunguka zunguka tu, na kurudia rudia na upotoshaji mwingi; huku lengo lenu likiwa ni lile lile la kusukuma mbele unajisi wa taifa hili unaofanywa na GENGE la Samia Suluhu Hassan.
Kwa hiyo nakuona wewe ni MMZOGA, tena aliyeoza kabisa.