Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

Wamenyimwa misaada ndiyo maana hadi leo hawana hata kofia wala leso za kugawa bure.Wamebaki wanyonge sana na hata kupeana rushwa safari hii ni bilabila.Hela za wafadhili hazipo.
Lakini si wana yale mabilioni waliyochanga
 
Mabeberu gani? Mabeberu kila siku unaenda kutembeza bakuli kwao kuomba unga? Baba saidia maskini' sisi ni maskini? Maadui zetu wamo humu humu wanaoiba raslimali zetu utadhani ni za mama zao
Huko sio kuomba msaada, bali ni kuwabembeleza waturudishie kidogo fedha zetu wanazotuibia
 
IMG-20250831-WA0001.jpg
 
Tanzania Haina ubavu wowote wa kukataa misaada, hapo ukiona hivyo wamenyimwa, ombaomba siku zote huwa hana amri huwa anapokea maigizo na amri
 
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.

View: https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El

Mada hii ni ya kipuuzi.
Mapandiko yako yote uliyo jaza humu ni ya kuwadhalilisha waTanzania; sasa unakuja na upuuzi huu ili kuonyesha kitu gani?
Hizo hela anazotumia Samia na GENGE lenu zimetoka wapi, unaajuwa?
Hayo mabaiskeli, pikipiki, mapicha na matakataka yote yanatoka wapi; kwenye bandari na GESI yetu ya Ntorya mlizo wagawia wajomba?

Halafu unakuja hapa na kujifanya hujui yote hayo na zaidi yanatokana na nini. Ndiyo maana wewe ni MZOGA mbaya zaidi kuliko hata hao wenzako, akina Tlaatlaah.
 
Nyie ndio unataka kutukomboa kwa msaada wa wazungu? eti the world is watching!!!

View: https://youtu.be/a4c3MQwGD0g?si=UdUcVQ3R9HqLVvtH

Kama msaada wa wazungu utazima mitutu mnayo itumia kuwaua waTanzania kwa nini waTanzania wakatae msaada toka kokote, na siyo kwa wazungu pekee.
WaTanzania wapo tayari kujikomboa weyewe kupitia kwenye sanduku la kura kwa kuwepo na uchaguzi huru na wa HAKI; jambo ambalo Samia na GENGE hamlitaki.
Sasa unataka waTanzania wakaangukie kwenye mitutu ya bunduki wanazotumia akina Jumanne Mulilo na ACP Awadh, na wengineo wanao hakikisha kuwalinda Genge?

Ungekuwa na uhai, na siyo MZOGA kama ulivyo sasa, mambo haya yasingukuwa magumu kuelewa na badala yake kuendelea kujaza takataka kwenye jukwaa hili la JF.

Ndiyo maana nasema inawezekana mnalipwa kwa kiasi cha mada za takataka kama hizi mnazoleta humu.
 
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.

View: https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El


Hatuna uhuru kavulata . Kama hujui uhuru kila kitu utaita uhuru. Kama hujui haki kila kitu utaita vurugu na amani ni ushamba tu lakini hatuna uhuru na chaguzi ni maigizo. Yaani tunalazimishwa tuwe tunalazimishwa na ndugu fake au kutoka nje hamna tofauti. Ndugu yako anaweza kukunyanyasa na kukuwa na kukosa upendo kuliko jirani yako!!!. Vitendo ndiyo msingi sio kutoka ndani au nje
 
Tanzania Haina ubavu wowote wa kukataa misaada, hapo ukiona hivyo wamenyimwa, ombaomba siku zote huwa hana amri huwa anapokea maigizo na amri
Nadhani kuna mitizamo tofauti.CCM ipo karibu zaidi na China kuliko Marekan na Ulaya Magharibi.
Vipaumbele vya misaada kwa Tanzania kutoka China ni tofauti na Magharibi.
Magharibi nao wana chagamoto nyingi huku wana Trump,huku kuna vita ya Ukraine, Huku wanatishiwa kutawaliwa na Urusi, huku wana upungufu wa ajira,na wazee ni wengi kuliko vijana.
Wakati China yeye demokrasia ya Magharibi sio muhimu,na anazidi kupaa kiuchumi,kijeshi na kitekinogia kwa kasi sana
 
Mada hii ni ya kipuuzi.
Mapandiko yako yote uliyo jaza humu ni ya kuwadhalilisha waTanzania; sasa unakuja na upuuzi huu ili kuonyesha kitu gani?
Hizo hela anazotumia Samia na GENGE lenu zimetoka wapi, unaajuwa?
Hayo mabaiskeli, pikipiki, mapicha na matakataka yote yanatoka wapi; kwenye bandari na GESI yetu ya Ntorya mlizo wagawia wajomba?

Halafu unakuja hapa na kujifanya hujui yote hayo na zaidi yanatokana na nini. Ndiyo maana wewe ni MZOGA mbaya zaidi kuliko hata hao wenzako, akina Tlaatlaah.
Chuki haijengi, ni zamu yao wacha wale mema. Kila zama na kitabu chake. Awamu ya 5 Rais ilikuwa akitembea na fedha za kugawa tu barabarani, anaweza kununua jogoo kwa milioni 3. Mwl. Nyerere enzi zake alitapanya hela zetu nyingi sana kupigania Afrika na kukomboa nchi nyingine huku watoto wetu wakikosa elimu bora kwa kufundishwa na walimu wa hovyo wa darasa la saba (UPE). Enzi za Mzee Mwinyi hali ilikuwa nzuri kidogo lakini tausi wetu walipotea wengi pale Ikulu na ile ruksa ilitugharimu pakubwa, Mkapa nae kauza kila kitu na walionunua mashirika yetu na nyumba za serikali walikuwa wahuni. JK ndiyo usiseme, Magufuli alihangaika na upande ule zaidi na kuishia kuorodhesha ubaya wa wakoloni na mtangulizi, alitafuta sifa binafsi kwa machinga. Wacha Samia nae atuvushe wakati wewe na wahuni wenzako mnaendelea kujenga na kuimarisha vyama vyenu vilivyojaa maluki kutoka CCM na NATO.

Kifupi/summary/in nut shell utake ni Samia usitake ni Samia, ucheke ni Samia na unune ni huyo, piga kazi.
 
Wamenyimwa misaada ndiyo maana hadi leo hawana hata kofia wala leso za kugawa bure.Wamebaki wanyonge sana na hata kupeana rushwa safari hii ni bilabila.Hela za wafadhili hazipo.
Wanafundisha kujitegemea. Una mashaka na nyomi la CCM kwenye mikutano yake ya kampeni inayoendelea? Eti Reforms no erection!!!

View: https://www.youtube.com/live/mLi7pa3ytFc?si=VxY83rKutgPzcw_A

View: https://www.youtube.com/live/GXl9kDEBJbU?si=WMe3aarrmTGuY_Z8

View: https://www.youtube.com/live/EcwOXH6RpqA?si=C72_fSSyxYV1rT_y
 
Kama msaada wa wazungu utazima mitutu mnayo itumia kuwaua waTanzania kwa nini waTanzania wakatae msaada toka kokote, na siyo kwa wazungu pekee.
WaTanzania wapo tayari kujikomboa weyewe kupitia kwenye sanduku la kura kwa kuwepo na uchaguzi huru na wa HAKI; jambo ambalo Samia na GENGE hamlitaki.
Sasa unataka waTanzania wakaangukie kwenye mitutu ya bunduki wanazotumia akina Jumanne Mulilo na ACP Awadh, na wengineo wanao hakikisha kuwalinda Genge?

Ungekuwa na uhai, na siyo MZOGA kama ulivyo sasa, mambo haya yasingukuwa magumu kuelewa na badala yake kuendelea kujaza takataka kwenye jukwaa hili la JF.

Ndiyo maana nasema inawezekana mnalipwa kwa kiasi cha mada za takataka kama hizi mnazoleta humu.
Ungekuwa unajifunza na kuelewa haraka ungekuwa unajua kuwa Tanzania na CCM iko karibu zaidi na nchi za China, Urusi, N. Korea, Cuba na ulaya mashariki kuliko nchi za Magharibi. Sasa hivi CCM na Tanzania inaelekea BRICS zaidi kuliko EU na NATO. Huku BRICS unapewa bila kuambiwa cha kufanya na pesa hiyo tofauti na kule Magharibi. Hivyo kunyimwa hela na nchi za Mahgaribi sio habari lakini kunyimwa hela na nchi za BRICS ni habari.

Tunafahamu kuwa makanisa ndiyo yanayofurahia uelekeo wa nchi kwenda Magharibi.

Nchi kunyimwa msaada na EU ni mpaka ukubaliane na ushoga kwanza na mashoga waende Ikulu. Nani anakubali upuuzi huo.
 
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.

View: https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El

Ccm na Tanzania haiitaji na haistahili hiyo misaada,kwani uchaguzi ni aibu na matumizi yasiyosahihi ya pesa kwa mazingira ya chaguzi zetu.Pia rasilimali tunazo iwapo tungeamua kuzitumia kwa manufaa ya taifa na kwa usahihi kwa maendeleo ya wote.Kuliko kuongeza mikopo bora tunyimwe.
 
Ungekuwa unajifunza na kuelewa haraka ungekuwa unajua kuwa Tanzania na CCM iko karibu zaidi na nchi za China, Urusi, N. Korea, Cuba na ulaya mashariki kuliko nchi za Magharibi. Sasa hivi CCM na Tanzania inaelekea BRICS zaidi kuliko EU na NATO. Huku BRICS unapewa bila kuambiwa cha kufanya na pesa hiyo tofauti na kule Magharibi. Hivyo kunyimwa hela na nchi za Mahgaribi sio habari lakini kunyimwa hela na nchi za BRICS ni habari.

Tunafahamu kuwa makanisa ndiyo yanayofurahia uelekeo wa nchi kwenda Magharibi.

Nchi kunyimwa msaada na EU ni mpaka ukubaliane na ushoga kwanza na mashoga waende Ikulu. Nani anakubali upuuzi huo.
Kwanza ni wajibu wangu nikukumbushe kwamba ninapoandika chochote juu ya bandiko lako natambua bila ya shaka kuwa wewe ni MZOGA; kwa hiyo ninajibu kwa stahiki ya sifa hiyo. Muda wa kujadili kistaarabu kama ilivyo kwa binaadam hai haupo tena kwa mzoga kama wewe.

Sasa kuniambia mimi juu ya ukaribu wa Tanzania na hizo nchi unadhani hapo umekuwa kama umegundua jambo jipya la kulipigia keele?

Ninachojuwa bila ya shaka yoyote, njia zenu (Mizoga yote humu JF) ni ya kuzunguka zunguka tu, na kurudia rudia na upotoshaji mwingi; huku lengo lenu likiwa ni lile lile la kusukuma mbele unajisi wa taifa hili unaofanywa na GENGE la Samia Suluhu Hassan.
Kwa hiyo nakuona wewe ni MMZOGA, tena aliyeoza kabisa.
 
Kifupi/summary/in nut shell utake ni Samia usitake ni Samia, ucheke ni Samia na unune ni huyo, piga kazi.
Hiki ndicho kinachokufanya wewe uwe na sifa ya ziada katika mizoga yote; uvundo kutoka kwenye mzoga huu ni mkali zaidi.
Sasa tambua tu kwamba uvundo wote huo unaohatarisha taifa hili tutaufukia au kuuchoma moto na uvundo wote utakwisha.

Hayo uliyo andika huko juu, hasa kuhusu "Nyerere kutapanya pesa", hayo ndiyo uhalisia wa elimu inayopatikana kwenye chuo cha Kariakoo. Kwa hiyo ni bora ubaki na elimu ya huko huko kuliko mara nyingi kujificha ficha kwa kutaka uonekane una 'objectivity' juu ya mambo na kujivika uzalendo.
 
Tunafahamu kuwa makanisa ndiyo yanayofurahia uelekeo wa nchi kwenda Magharibi.

Nchi kunyimwa msaada na EU ni mpaka ukubaliane na ushoga kwanza na mashoga waende Ikulu. Nani anakubali upuuzi huo.
Ungejikita huku, umzoga wako ungeeleweka; tatizo lako ni kudhani unapojificha kwenye maswala mengine ili kujificha huko ajenda yenu isifahamike hapo ndipo unapojionyesha umzoga wako mkubwa.
Sasa tueleze wajomba waarabu mnao wagawia bandari na Gesi ya Mtwara wao mnataka watufanye nini waTanzania?
 
Back
Top Bottom