India yaukubali mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Yataka Mataifa yote yaunge mkono

India yaukubali mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Yataka Mataifa yote yaunge mkono

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote.

India’s Modi welcomes Trump’s Gaza plan​

India’s Prime Minister Narendra Modi has welcomed Trump’s “announcement of a comprehensive plan to end the Gaza conflict”, in a post on social media.

Trump’s plan “provides a viable pathway to long term and sustainable peace, security and development for the Palestinian and Israeli people, as also for the larger West Asian region”, Modi wrote.

“We hope that all concerned will come together behind President Trump’s initiative and support this effort to end conflict and secure peace,” he added.
 
Hiyo hiyo
Lazima una matatizo makubwa!!

Nchi ambayo inauza mifumo na silaha mbalimbali Duniani kote, unalinganisha na nchi inayoshindwa kutengeneza hata toothpivks!! Lazima kuna mahali hupo sawasawa. Soma hapo Chini ndiyo utaelewa ni kwa kiwango gani umrkuwa duni sana wa uelewa:

In 2023, the main destinations of Israel's Weapons exports were: India ($135M), United States ($122M), Estonia ($62.1M), Philippines ($40.3M), and Czechia ($27.6M). Other major regions that purchase Israeli defense equipment include Southeast Asia and Latin America.
Israel sold arms worth US$4 billion to China in this period. China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.
 
Amerika baada ya kuona anakosa sapoti ya washirika anajitokeza kama msuluhishi akati yeye ndiye mwenye rimoti ya Mwanasesere (Izraeli) .
 
Back
Top Bottom