Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Inashangaza sana. Hii inaitwa hasira za mkizi.
Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini
Wamemtenga kabisa Cornel Magembe
CCM chato watu wanachuki sana.
Nipo hapa stendi ya Zamani Chato nakunywa kahawa
Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini
Wamemtenga kabisa Cornel Magembe
CCM chato watu wanachuki sana.
Nipo hapa stendi ya Zamani Chato nakunywa kahawa