GE2025 Team Kalemani wahamia kwa Lutandula. Hawamuungi mkono Cornel Magembe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kalemani mtu wa hovyo sana, Tanesco waliunda kampuni ya kutengeneza nguzo za simenti, lakini yeye ma jiwe wakaizimisha kampuni hiyo, wakaunda ya kwao ya binafsi wakaanza kuuzia tanesco nguzo. Takataka kabisa huyo mfupi kama kipande cha mwisho cha haja
Mbona husemi madudu yaliyoko TANESCO na Wizara nzima ya Nishati ambako wametupigia kwenye Nguzo mpaka sasa na mpaka Kipara akaondolewa. Bado ni shida tupu na huku umeme kijijini kwetu haujafika eti Transfomer hakuna, It is Insane !
 
Hoja yako inahusika vipi hapa?
 
Back
Top Bottom