mkononi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Watuhumiwa wawili wa wizi kuuliwa na Wananchi, Polisi Arusha yawaonya wanaojichukulia sheria Mkononi

    Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha watu wawili wasiofahamika majina wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 28 walifariki...
  2. Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  3. Z

    Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
  4. Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

    Salaam Wakuu, Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi. Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni. Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
  5. Dira ya Taifa, Hoja 7 Mkononi

    DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha za Dira. Nilikwenda na hoja 7 mkononi kama ifuatavyo 01. Kuna Watanzania 91% ambao ni nguvu kazi...
  6. Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  7. Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  8. Unaambiwa Pep Guardiola 'hapatikani' na hatumii simu yake ya mkononi, ajificha kuokoa Jahazi la Man City

    Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake. Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana...
  9. A

    Madhara ya Simu za mkononi kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi

    Simu za mkononi, ingawa zina manufaa mengi, zinaweza kuwa na madhara kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi au kwa muda mrefu kupita kiasi. Baadhi ya madhara hayo ni: 1. Madhara kwa Afya ya Ubongo: Mionzi ya sumakuumeme inayotolewa na simu za mkononi inaweza kuwa na athari kwa ubongo, ingawa...
  10. Z

    Naota napigana nashtuka nmepiga ukuta damu zinatoka mkononi. Tatizo nn

    Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
  11. Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  12. Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  13. Yanga ni team ya Taifa

    Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa...
  14. Kwanini Mashariki ya Kati ni eneo korofi lisilopata utulivu watu wanaishi ngumi mkononi?

    Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana. Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
  15. Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Leo niliibiwa materials kutoka eneo langu la kazi Mkoa A, baada ya kufatilia nikagundua mwizi amesafiri kwa njia ya Bus kuelekea mkoa B, nikafanya mawasiliano na Police wa mkoa B, wakanipa ushirikiano na kumkamata mwizi wangu akiwa na hayo material kwenye Bus kama nilivo report, na bahati nzuri...
  16. Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  17. TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  18. Jeshi la Polisi laonya wanaojichukulia Sheria mkononi

    Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki, Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
  19. Utapeli wa kampuni ya tigo wakishirikiana na bima mkononi (milvik)

    Je serikali haioni jinsi kampuni ya Milvik ikishirikiana na Tigo wanavyofanya dhuluma kwa wananchi?? Kampunj ya tigo imekua ikifanya uhamasishaji wa wananchi kujiunga bima mkononi ambapo mnufaika hukatwa 5500 kila mwezi na endapo ataumwa yeye au wanufaika wengine wa familia yake kisha...
  20. Israel imeshaua wacheza muziki na mateka. Izuiwe kujichukulia sheria mkononi

    Ukweli umeanza kujulikana kuwa waliokufa kwenye tamasha la muziki eneo la Nova wengi wao waliuliwa na helikopta za Jeshi la Israel na sio wanamgambo wa Hamas. Kuhusiana na mateka wengi wao itakuwa wameshauliwa na Israel yenyewe na wachache wametoroka na wapiganaji wa Hamas. Msemaji wa jeshi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…