Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie
Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira.
Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
Kwa kweli mi utafiti wa kisayansi utakuja kunikuta baadaye tayari nishafikaga huko.
Unajua mambo mengi tu yaliyopo kiasili, huwa tayari ndio ukweli sema tu unasubiria sayansi kuja kutoa maelezo kwamba kwa nini hicho kitu ni kweli.
Lakini mi sio mjinga. Sitasubiri hadi mwanasayansi wa nje aje...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
Kati ya Juni hadi Septemba 2023, kulikuwa na Vifaa 70,613,504 vya Mawasiliano ya Simu za Kawaida (Feature Phone) na Simu Janja (Smart Phone) zilizounganishwa na Mitandao ya Simu sawa na 83% ambapo Simu Janja zilikuwa Milioni 18.9 na Simu za Kawaida za Mkononi (Feature Phone) zilikuwa Milioni...
Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine.
Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi.
Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita ACP Safia Jongo, wakati alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga Wilayani Chato katika Mkoa wa Geita Septemba 20, 2023.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini...
Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.
Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya...
Habari WanaJF,
Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania...
Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba feedback. Kama mfanyabiashara, siku zote unatafuta pa kununua vitu kwa bei ndogo ili uweze kuuza kwa...
Nina Tsh. Milioni 30 cash mkononi mwangu, kujenga ndo kipaombele changu, hata biashara pia.
Mwenye nyumba nzuri ya milioni 20 (Arusha) anitafute. Milioni 10 nataka nifanye biashara nipate hela ya marejesho.
Napokea mawazo na ushauri
At arusha now.
PM please.
Habari wana jukwa!!!
Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen..
Je, Shida itakua nini hapo?
Nimeamua kuyaandika haya maneno kwa sababu nimeshindwa kupiga screen shot, app yao imeblock kupiga screenshot...
Utangulizi
Bunge mkononi litakuwa ni bunge/mkutano utakaompa nafasi kila mwananchi kuwa mbunge. Bunge hili litakuwa kwa njia ya mtandao, na mshiriki ataweza kushiriki kupitia sim janja ya mkononi. Mtu aliye tayari atajisajiri katika mtandao wa bunge utakaoanzishwa, na maombi yatatumwa selikalini...
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.
Kuna...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English.
Karibu
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
If we don't change, we don't...
Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka?
Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki.
Kumbe tulipigwa
USSR
--
Rais Samia amesema haya...
"Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89.
Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
Nimesoma quote ya mtu mmoja hapa jf, imenifurahisha sana. Ni kuhusu sakata la Diamond na TRA. Ni ukweli usiopingika mfumo wa ulipaji Kodi Tanzania bado ni changamoto. Hii efilling system ina watesa sana watu. Nashauri TRA wakae chini walitafakari hili, na kuja na mfumo rahisi na wezeshi kwa...
Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji...
Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho.
👇
Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.