Salaam
Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta
Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
Kipa wa Simba, Aishi Manula amepata majeraha ya kukatwa na kioo kwenye mkono akiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Geita Gold, leo Mei 22, 2022.
Tukio hilo limetokea wakati Manula akiwa ni mmoja wa...
Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo.
Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi..
Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa udalali ni mwingi.. Maneno kama AC unaganda.. Gari ya kufugwa.. Gari ya Mhindi..Namba D hiyo...
Wasalaam
Kufuatia kuwapo kwa makundi ya panya road yaliyokatakata raia kwa mapanga na kupora mali zao kisha kuwabaka wanawake, wito wangu kwa watanzania wanaovamiwa wajibu mapigo kwa silaha zozote walizonazo hata ikibidi watangaze vita na hawa vibaka. Tupambane panya road akishikwa tumtie...
Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini?
Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
Sitakuwa na maneno Mengi! Hii ni ile huduma ya bank mkononi!
Nilivyotaka kujiunga kale ka kahudumu ka benki kaliunganisha fasta fasta kwa bashasha! Kumbe wanajua inavyowalipa vizuri huduma hiyo!
Nilifurahi sana kuunganisha bank mkononi ili kuepusha usumbufu wa kwenda bank/ATM.
Lakini...
Gari za kununua mikononi kulingana na bajeti yako na kupata best bang kwa hela yako..!
2-5M
Corolla/Sprinter.. Gari simple na ngumu..
GX 100..ukipata yenye 1G Matumizi ya mafuta yatakuwa juu kidogo.. Ila hautakuwa mnyonge barabarani..!
Vits.. Ukipata ya 3 doors hapa ujiandae kukunja siti ili...
WapambanaJi..
Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).
Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,
Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
Tz na sehemu nyingi kuna imani imeenea kuwa kutumia simu wakati wa radi kunaongeza uwezekano wa kupigwa na radi.
Lakini katika kuangalia mitandaoni nimeona zinasema kuwa huu ni uzushi. Wanasema simu haina umeme wa kufanya ivutie radi.
Lakini wamesema kuwa simu za mezani ni hatari wakati wa...
Mfumo ambao dunia imejiwekea wa kumtafsiri mtu na mtu au hata taifa na taifa kupitia vipato vyao (pesa) umekuwa ukiweka maswali mengi sana kichwani kwangu, moja kati ya swali ambalo mpaka leo bado sijapata majibu ni lile lililo kwa watu wengi kwamba "Hela zinatengenezwa wapi? Na ni kozi gani...
Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction niliyokuwa nafanya awali nilikuwa na pata SMS.
Hii inakuwaje wataalam maana napenda sana hii issue...
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Kama challenge inavyosema
Tafadhari tupia saa uliyovaa kwa sasa mkononi tuone.
Nb hatupo hapa kudharau au kuangalia gharama na kukejeli wengine.
N:B picha hii ya juu ni kwa hisani ya mtandao sina umiliki wowote..
Hata kama una goroka kama yangu usione aibu ndipo kamba yako ilipoishia. 🙏🙏
Kwanza naomba ieleweke hii sio kodi bali ni kuchangia elimu au tunaweza kuita kuchangia Mfuko wa Elimu kwa watanzania kugharamia elimu ya shule ya msingi na elimu ya juu.
Napendekeza kila mtanzania mwenye kumiliki simu ya mkononi achangie shilingi 10,000 kwa mwaka mzima na fedha...
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
Habari ndugu zangu,
Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri ameenda kumtembelea mchumba wake jijini Dar es salaam .
Jamaa angu kafika kaugua mafua makali akawa anamekea kitambaa chake cha mkononi kamasi hali ambayo mchumba wake alimtamkia hatoweza kukifua hicho kitambaa atafua mwenyewe jamaa...
Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019.
Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.