mkopo

  1. J

    WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  2. Alipokuja mlimdharau mkasema ni Garasa la TP Mazembe FC sasa anatupia mnasema yuko tu kwa Mkopo na atarejea TP Mazembe FC

    Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli. Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi...
  3. Je, Serikali yako ilishawahi kukwambia masharti nafuu kwenye mkopo ni yapi?

    Niliwahi kusikia mara moja tuu sijui ni kwenye awamu gani kwamba serikali imeshindwa kuchukua mkopo wa mabilioni kutokana na masharti yake kuwa magumu. Baada ya hapo sikuwahi kusikia tena hilo bali ni serikali kuendelea kupokea mabilioni ya MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU. Je, serikali yako imewahi...
  4. Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

    Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu. Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo. Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
  5. Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu. Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni...
  6. StanChart Bank Yaipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya Sgr Lot 3 & 4

    Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4.. ======= The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
  7. Nawezaje kupata mkopo wa milion 1.5?

    Nataka kuendeleza biashara yangu ya studio. Plan ni kununua camera na printer machine.
  8. CHADEMA wakati wenzenu wanaunga mkono juhudi mliwatukana kuwa wamenunuliwa. Je, leo hii nanyi mmetolewa kwa mkopo?

    Hili liko wazi, CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala. Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala...
  9. Watu kuuziwa simu za mkopo bila kujua

    Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje. nyaje?
  10. M

    Mkopo unaitajika: Je, naweza kupata mkopo usio na riba?

    Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo, Kuna shida naitaji kuzitatua kidogo kama kuna uwezekano nikapata mkopo, kuhusu uaminifu ndo nguzo kuu, je naweza kupata...
  11. Utamu wa mkopo umetumiaje

    Nilikuwa nikipita karibu na ile bank niliyokopa zaidi ya m18 moyo unaanza kimbia na pumzi nayo nzito😂😂😂😂 Mkopo kwa nia ya biashara, kujenga, gari ikatokea tu ghafla paap pesa huioni imekata bila matarajio inaumaa sana. Kimbembe ukiinua salary slip ukitizama basic na take home roho inaumaa...
  12. Tanzania kupata mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 353.3 kutoka IMF ili kusaidia Uchumi

    Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji. Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
  13. D

    Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu?

    Nina dharura, kwa mwenye kujua, wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu yangu?
  14. T

    Msaada wa kisheria: Benki ya CRDB wamenikata mshahara pasipo kunipatia mkopo

    Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana. Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...
  15. Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na kunidalalia kwa wanaouza kwa jumla nami nageuza zangu shamba. Hii hali nimejikuta kama nawatajirisha madalali...
  16. M

    Ubora wa simu za mkopo

    Naomba kuuliza. Hivi hizi simu zinazokopeshwa na tigo, zina ubora kiasi gani? Samsung a04
  17. Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

    Hello jamaa zangu, Tumaini langu mnaendelea vizuri. Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana. Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
  18. Furaha ya kumaliza malipo ya mkopo wa elimu ya juu

    Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu. Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu. Kuna wana aga...
  19. Nina shida na mkopo, dhamana ipo

    ..
  20. Mkopo wa haraka unahitajika ili kukamilishaoda za wateja.

    Wakuu habari zenu Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu) Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…