MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo.
Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi.
Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/
Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju, Bagamoyo wafike internet cafe iliyopo boko chama kwa mawasiliano tuandikie email...
Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi.
Msaada tafadhari.
Kichwa cha habari kinajieleza.
Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.
karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013.
2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016.
3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
Hello Wadau!!
Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo
Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao
Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100%
Hiki kinanifanya nijiulize
Mosi, ni...
Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu.
Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 nahitaji kuomba mkopo mwaka huu je nitakubaliwa bila kuambatanisha cheti changu cha kidato cha sita maana shule niliyotoka nadaiwa ada.
Jamani naomba mwenye uelewa wowote juu ya jambo hili anisaidie,Je discontinue student anaweza tena kupata mkopo kutoka heslb na ilishaawahi kutokea hivo? ahsanteni
Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu.
Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangazia kuondolewa kwa tozo iliyokua inaumiza wanufaika wa mkopo hasa Wafanyakazi bado kumekua na kimya kingi kutoka bodi ya mkopo kuhusu maendeleo ya mchakato huo.
Bodi walitoa taarifa kua wanarekabisha tozo hiyo kwa kuiondoa pia watahuisha...
Habari wana jamvi kama kichwa kinavyosema hapo juu nina omba kujua ukiwa na mshahara wa laki 5 mpaka laki 7 ambayo ni take home, Unaweza kupata mkopo wa maximum kiasi gani? Na itabaki shilingi ngapi?
Je, naweza kopa ikabaki Tsh. 100,000/= nitapata mkopo kiasi gani na nitalipa kwa muda gani? In...
Habari wadau,
Baadhi ya taasisi za kifedha zimekuwa na tabia ya kutishia ama kukamata mali ambazo wakopoja wameziweka kama dhamana.
Swali langu ni je, iwapo mkopaji atashindwa kilipa mkopo wake kama walivyokubaliana katika mkataba wa kukopeshana, mkopeshaji anaweza kukamata mali ya mkopaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.