mkopo

  1. Digging deeper

    Mkopo kwa Continuos Students huwa unabadilika?

    Nashindwa kuelewa hivi wadau JF ni saidieni hivi kwa continous student mkopo huwa unabadilika maana nimejaribu kuingia kwenye account yangu nakuta mambo tofauti na awali pesa walizoniwekea miaka yote nitofauti kabisa yaani wamepunguza kabisa yapo masifuri je shida hii continous student...
  2. Mwande na Mndewa

    Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

    HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA. Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua...
  3. L

    Ushauri kwa Serikali: Riba na bima ya mkopo

    Serikali tangu awamu ya tano haipajandisha mshahara wala kulipa malimbikizo kwa watumishi hata hii ya sita japo inasema wamepandisha lakini ni ongezeko kidogo sana kiasi ambacho hakileti mabadiliko yoyote kwa maisha ya mtumishi japo gharama zinabadilika kila uchao. Pamoja na hayo watumishi...
  4. J

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba...
  5. Ze Bulldozer

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

    === Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
  6. M

    Nahitaji mkopo wa 2,000,000 kwa dhamana ya kadi ya gari, gari namba D ya karibuni

    Wadau habari za kazi, naweza pata mkopo tajwa hapo juu ndani ya kuanzia miezi sita mpaka mwaka marejesho.
  7. goodhearted

    Hii maana yake nini jamani, hapa kuna mkopo au ndiyo basi tena?

    Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii; Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal Because of the following reason(s);- Incomplete Application Form Verification Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa...
  8. F

    Wapi naweza pata mkopo kwa kutumia hati ya kiwanja?

    Habarini wakuu. Nina hati ya kiwanja, ninashida ya mkopo kama mil 2-3. Wapi naweza pata mkopo kutumia hati nimejaribu benki kama 2 hivi nimekosa.
  9. Rufiji dam

    Rafiki yangu kaombwa mkopo na mke wa mtu

    Waungwana nawasalimia. Leo kuna rafiki yangu yeye ni Mfanyakazi wa Serikalini maskani yake ya kazi ni Dodoma. Leo kanifuta kuomba nimpe loan ya laki 5 ana shida nayo ya haraka sana. Sikutaka kumpa mpaka nijue ni haraka gani imempata ndio akaja na habari ya kushangaza kabisa kuwa namkopea...
  10. BabaMorgan

    Ikiwa nadaiwa mkopo na nikakiri nimeshindwa kulipa ni hatua gani naweza kuchukuliwa?

    Mtu ambaye amepitia struggle ya kudaiwa kiwango cha pesa ambacho kipo nje ya uwezo wake atakuwa ashaelewa nini namaanisha. Mfano unafanya kazi unalipwa 500,000/= per month una madeni sehemu tofauti lakini Total ya madeni yako ni 10,000,000/= ikumbukwe kwamba kwenye hayo madeni kuna madeni...
  11. Father of Chemistry

    Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

    Habari wanajamii, Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22. Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa...
  12. Bounty hunter

    Mkopo kwa wanaoendelea majibu huwa yanatokaje wakuuu msaada

    Msaada wakuu naombeni kujua kuhusu utaratibu wa majibu kwa walio omba mkopo kwa wanaoendelea huwa yanatokaje
  13. B

    Ni wakati wa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB) kubadilika

    Nafahamu mpaka sasa upangaji wa mkopo kwa wanafunzi unasuasua japo mnaeleza pesa mnayo bil 570 wanafunzi nusu ya zaidi ya waliomba hawajui hatma yao (mnachelewa). Kupanda na kushuka katika maisha ni jambo la kawaida kwa mfano familia ya mzee kiyoyozi miaka 20 nyuma ilikua nakipato kizuri na...
  14. Nyankurungu2020

    Kama mnajiachia namna hii mkiwa Chamwino bila kuzingatia mashariti ya Uviko 19. Mkopo wa tril 1.3 una tija?

    Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo. Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha...
  15. Elisha Sarikiel

    HESLB: Awamu ya pili 7,364 wapangiwa mikopo; wengine watapangiwa Oktoba 25

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi Mtendaji...
  16. C

    Kuna usawa wowote kuhusu upataji mkopo kati ya waliosoma shule za serikali na binafsi?

    Wakuu, Kuna thread nimeona inaeleza usawa kati ya waliosoma gvt na pvt katika kupata mkopo Hapana kabisa, najua watu wanaolipia watoto wao kwa mwaka mmoja 2m-m5 kuanzia nursery had advance ndo uje kusema wana haki ya kupata mkopo wa 1.2 -2.0mil ya chuo kikuu? How comes Wale yatima na kaya...
  17. R

    Mkopo wa Mfadhili waanza kuliwa Chalinze

    Leo Watanzania mnasherekea mkopo wa IMF na kufurahia maekekezo tu kuwa tunakwenda kumaliza tatizo la vyumba vya madarasa na wasimamizi ni wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya chini na watendaji. Lakini tujue maeneo mengi ya nchi yamejaa upigaji. Na wapigaji ni wasimamizi wenyewe. Shida ipo hapo...
  18. Elisha Sarikiel

    Bodi ya mikopo (HESLB) yawapangia wanafunzi 37,731 mkopo awamu ya kwanza kwa mwaka 2021/2022

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi...
  19. ngotho

    Naomba ufafanuzi kuhusu marekebisho ya form ya mkopo

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na mada tajwa hapo juu, hapo nyuma form yangu ya mkopo ilikuwa na shida, kuna sehemu ilikosewa wakati wa kuaply mkopo.( Yaani alijichanganya akaandika LOCAL POSTGRADUATE badala ya LOCAL UNDERGRADUATE ). Sasa form ikawekewa alama nyekundu pale...
  20. Tripo9

    Log in account yako ya Bodi ya Mikopo uone kama kuna makosa ya kurekebisha

    Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya. Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit. Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio...
Back
Top Bottom