"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"
"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja...
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa...
Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba.
Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za Serikali ila alikuwa anasisitiza ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali.
Bwana Ndugai amesema mwishoni...
Habari wana jf, nimekuja kwenu Nina uhitaji wa mkopo Nimejaribu kwenye taasis nmekosa, nina dhamana ya nyumba ipo morogoro mzumbe, nahitaji tsh million 3 naweza kurejesha ndani ya miezi miwili mpaka mitatu kulingana na riba, ukiweza kunisaidia contact 0677982592.
Wasalaam
Mimi ni muhitimu Bachelor wa fani ya IT. Nimeajiriwa na kampuni binafsi iliyopo Dar es Salaam since 2019. Nina mkataba wa kudumu.
Nahitaji mkopo wa kiasi cha Tshs 2,000,000 kuna project nahitaji kuifanyaa kwa uharaka. Nitawezaa kurudisha ndan ya muda wa miezi 7, kwa riba ya 20% ya...
Habari wanajamvi,
Nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi sisi kujua kwa sababu za kisiasa za kikundi fulani.🤔
Mama amesema tumepewa Concessional Loan ya miaka...
Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
Wazee wa "ceteris peribus" habarini.
Bila kuwapotezea muda naomba kujua endapo kama bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) huwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosomea bachelor of accounting and finance mathalani waliopitia diploma ya accounting and finance? Au wanufaika wa mkopo...
Moja ya vitu ambavyo watu wengi wanapuuzia ni hili suala la mikopo kwa nchi yetu.
Lakini hawajui kuwa mikopo hii ndio inayofanya miradi ya Maendeleo. Watu wanafurahia miradi Ila hawajui pesa inatoka wapi.
Utawala wa awamu ya 5 ulikopa na taarifa zilitolewa kila mwezi pale BOT lakini hakuna...
Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema
1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla...
Wadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)
2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)
Naomba...
Ninawasalimia wenzangu wanajukwaa
Nimekosa usingizi muda huu nakuamua kutumia fursa hii kufikisha ujumbe wangu.
Je mamlaka husika zifahamu kwamba wapo baadhi ya wanachuo hadi mwaka unaisha tangia kufunguliwa vyuo mpaka sasa wapo baadhi ya wanachuo ambao hawajapewa fedha ya kujikimu?.
Maswali ya...
Imekuwa ni wimbi wa kila mwaka ifikapo January watu kupiga kelele ukata. Ni wazi kuwa mwezi january uchumi huwa unadorora. Si vizuri kulialia kila mwaka.
Serikali/mabenki wangekuja na mkakati wa kutoa mkopo special kwa mwezi january. Kama mtu mshahara wake takehome ni laki sita basi akapeshwe...
Habari zenu wadau.
Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa...
Kumekuwa na ongezeko la uchukuaji wa mkopo kutoka taasisi mbalimbali lakini bado kusimama kiuchumi bila utegemezi wa mkopo umeshindikana.
Matarajio ya wengi katika mkopo ni kurudisha mkopo kwa wakati sahihi na kuongeza kiwango cha mkopo baada ya muda nadhani hii imekuwa ni kasumba ya wengi...
Dr. John Pombe Magufuli was right. Inachukiza na kuumiza kuongea maneno haya sababu sikuwa na upendo kwake. But Ukweli ni kuwa He was Right.
COVID-19 (Wabunge wa CDM waliopo Bungeni) ilikuwa ni biashara na itaendelea kuwa biashara. Watu ni kweli wapo waliofariki kwa ugonjwa huo. Sikatai but ni...
Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye.
-Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD.
-Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD
-Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD
_awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.