mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  2. Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

    Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu. Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
  3. S

    Serikali kuzuia mazao ya chakula kuuzwa nje inakwepa majukumu yake na ni uonevu mkubwa kwa wakulima

    Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika). Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
  4. U

    Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

    Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa. Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu...
  5. Rashford kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Man United

    Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki. Anayelipwa kiwango kama hicho ndani ya timu hiyo ni kipa David de Gea ndiye ambaye inadaiwa anaweza kuondoka...
  6. Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  7. Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  8. F

    Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  9. Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

    Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana, kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika Kisutu kwa nini? Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye...
  10. Bunge na ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huu ni ufisadi mkubwa

    Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa. Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo (rule of procedure) kuhusu namna ya serikali kuingia mikataba kama huu wa TPA? Wadau tunaamini Bunge...
  11. Wakataa KUOA wengi ni wale ambao tuliumizwa na wapenzi tuliowapa hisia na tumaini la kudumu katika kweli. Hii imekuwa chachu ya fikra hasi kuhusu KUOA

    Hello family, Mods please tupeni fursa tuseme kweli, kweli inaponya. Let speak the truth, the truth be told. Hakika nasema katika kweli hasira na chuki hasa katika mawanda ya ndoa si bure kuna chanzo, wengi wa wanaokataa ndoa na kuoa ni wahanga wa kuumizwa kihisia na kuharibiwa malengo hasa...
  12. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  13. M

    SoC03 Mchango mkubwa unaofanywa na mafundi ujenzi anayejenga majengo ya serikali kwa mfumo wa force account

    Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika tenda ni fundi mwingine tulikubaliana kuwa atanilipa tsh 15000 kwa siku hata hivyo kwa huku kijijin...
  14. J

    Mambo 6 aliyoyaona Luhaga Mpina Wizara ya Nishati

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 1: UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
  15. Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima. So akili kichwani, yaani mzazi...
  16. L

    Morisson Bernard ana uwezo mkubwa wa kupachika magoli na ubunifu

    Bernard Morrison ana uwezo mkubwa wa kushinda magoli kushinda hata Mayele, believe kama akicheza Kwa angalau dakika 30 anaweza kuipa timu walau magoli mawili.
  17. Unapata shida ukitaka kutongoza sababu unajiwekea mzigo mkubwa, lakini ukitongoza hivi hutopata shida

    Kutongoza ni mchakato wa kujuana. Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja. Mchakato unaohusisha; Kujuana historia zenu, Kupata muda pamoja, Kufurahi pamoja, Kuchombezana, Kufanya mapenzi, na...
  18. L

    Kupigwa marufuku kwa Micron kwailetea Marekani wasiwasi mkubwa

    China hivi karibuni ilitangaza kupiga marufuku kampuni za miundombinu muhimu nchini humo kununua bidhaa za Kampuni ya Micron ya Marekani inayotengeneza chip za kapyuta, baada ya kampuni hiyo kushindwa katika uchunguzi wa usalama uliofanywa na China. Tukio hili limeleta wasiwasi mkubwa kwa...
  19. Ukienda ugenini usiende mikono mitupu!

    UKIENDA UGENINI USIENDE MIKONO MITUPU! Anaandika, Robert Heriel Kama mtu unayejielewa, heshima sio kitu cha bure ingawaje huwezi inunua. Moja ya malezi bora ambayo kijana wa kike au Wakiume unapaswa kuwa nayo ni pamoja na mafunzo kuhusu kwenda na kuishi ugenini. Ukienda ugenini usiende Mikono...
  20. Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

    Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu. Lakini naomba nitoe angalizo kwa timu yetu, hatua mliofikia ni mtihani mkubwa sana huenda kuliko watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…