mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

    Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Dr Kamatwa ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki. Suala hili halivumiliki
  2. GENTAMYCINE

    Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  3. B

    TAZARA yapigiwa chapuo ifanyiwe ukarabati mkubwa na uendeshaji mpya

    Beijing, China RAIS HICHILEMA AIPIGIA CHAPUO TAZARA IKARABATIWE HARAKA https://m.youtube.com/watch?v=T2pHN2eVLJg Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA lawa agenda kubwa mezani wakati wa ziara ya rais wa Zambia. Ambapo mbali ya kusaini mikataba kadhaa ya makubaliano ya MoU, suala la...
  4. F

    Watanzania adui yetu mkubwa ni CCM na mfumo wake

    Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii. Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
  5. matunduizi

    Hii ndio sababu kubwa kwanini dunia nzima kuna upungufu mkubwa wa matangazo ya ajira

    Kwa sababu siku hizi kuna fursa nyingi za watu kupata pesa bila kuajiriwa kuliko kipindi chochote tangu dunia iwepo. Makampuni mengi hayana sababu kufanya kila kitu yenyewe wakati kuna watu wengi tu wako majumbani wanaweza kuwafanyia hizo kazi bila kujibebesha mizigo ya Bima za afya, kodi, kero...
  6. G

    Mimi na wewe huenda tumeshakula sana Vibudu tukifikiri ni Kuku, Tuongeze umakini katika kuchagua na Kununua Kuku

    Inasikitisha sana, hapo zamani ilizoeleka vibudu vya kuku vilikuwa kwajili ya kulishia nguruwe ila sikuhizi mimi na / au wewe huenda tumelishwa sana tukidhani ni kuku tena tukijisifu ni bei rafiki kwa mtanzania. Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Kwa case study tutachukuloa eneo la Bagamoyo...
  7. REJESHO HURU

    Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

    Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu. Hiyo siku tuje turuke goma zako Tupakue ugali Tumuimbie radhia Tulianzishe kigheto gheto Tumtulize mtoto iddy...
  8. T

    Kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu 2025 zaidi ya wabunge 20 wa CCM wakapita bila kupingwa. Niko pale nakula popcorn

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
  9. The Supreme Conqueror

    Hongera Mchengerwa kuwa waziri TAMISEMI. Nakuomba yatazame haya, vibali vya uhamisho vina urasimu mkubwa

    Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni. Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Mabegi yaliyojaa fedha zikiwemo CFA franc, dola na euro yameripotiwa kukutwa katika nyumba ya msaidizi wa Nourredine Bongo, mtoto mkubwa wa kiume wa R

    Angalia mwenyewe hizo fedha zilivyo nyingi kuna CFA franc, dola na euro zimo nyumbani kwa mtoto wa kiongozi wa Rais Ali Bongo aliyepinduliwa.
  11. Christopher Wallace

    TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. Tlaatlaah

    Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao. Nia...
  13. Allen Kilewella

    Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  14. GENTAMYCINE

    Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

    Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
  15. Roving Journalist

    Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  16. MK254

    Bandari ya Urusi yashambuliwa, inawaka moto mkubwa

    Ni muendelezo wa kumpa Mrusi kibano, kumgeuzia kichapo, sasa hivi ndiye anapokea, kaanzisha...wenzake wanamaliza....na alishatoa mkwara kwamba akiguswa ndani atafanya kitu, sasa Ukraine wanajipigia opote kuanzia ikulu hadi bandarini...... https://t.me/shot_shot/55761 A huge fire covering at...
  17. NetMaster

    Ile sehemu wanayouza mikate Iringa imewezaje kupata umaarufu mkubwa tangu zamani kwa wanaosafiri safari ndefu hasa wenye magari binafsi

    Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini, wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate. Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka...
  18. saidoo25

    Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  19. SAYVILLE

    Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

    Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga...
  20. matunduizi

    Kwanini historia ya dunia inaonyesha watu wa visiwani huwa wana uwezo mkubwa wa utawala kuliko watu wa bara?

    mfano 1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta. 2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao walitawala karibu dunia nzima. Hadi kukawa na msemo, Uingereza jua halizami, wakimaanisha likizama huku hata...
Back
Top Bottom