Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
547
Reaction score
892
Ilikuwa hivi.

Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba.

Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa.

Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki.
Aliacha mkoba waxi nikawa naona manote, nikayafinyanga. Kikayatupia kwa chini. Si akaona bana. Ikawa vita.

Vita mura. Akasingizia nimefungua mkoba, jirani akawa aliona mapema dem hakufunga mwenyewe, tena waliambaza kwann huyu hafungi mkoba?

Basi bwana kimbembe nikatetewa kumbe nilitaka nimuadabishe. Malaya wajanja acheni nyie.

Ile pesa nilipanga ilipe bili yake tuuu
 
Trust me huo uwezo mkubwa unaousema ninaona bado hujaufikia. Hizo temptation ni kwasababu mbili na mbili hazikai. Kweli inawezekana hela unayo ila mahitaji yako ni mengi.
 
Ni GreenLight sio Green Card...

Hela kias gan umefinya?..

Kama plan B ipo (we kuwa na hela) bas Mngekunywa sana then kulipa Bill useme mtandao unasumbua kama ana cash basi unaomna alipe then ww umtumie kwa simu baadae maana uko nae..
Alaf agiza hata tatu tatu kabisa, bia ile ya tatu/pili ukiifungua tu unailamba tu tu iwe juu juu, alaf unaaga kwenda washroom . Na unapitiliza unasepa home.
Namba hata umempa , ww haushiki simu zake na baadae unablock...

Cuba mzee..
 
Mbona ujamalizia story na nimeshachukua mo yangu hapaa nashushiaaa😄😄😄...eeeehhh ikawajee ss baada kudakwa kaka mwizii..
FB_IMG_1741855466216.jpg
 
Bora usingemualika akae hapo kama ulikuwa hutaki kulipa bili, angalia ulivyodhalilika sasa kwa kutaka kumuibia
 
Back
Top Bottom