matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki.
Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike au nyie ndio hamtashiriki ili CCM washinde KWA kishindo?
Ikitokea wakawatega KWA kufanya reform Muda mfupi kabla ya uchaguzi ni lini mtakuwa mmejiandaa na huyo uchaguzi.
Nashauri badala ya NO REFORM NO ELECTION, Waaminisheni watu KUWA kutakuwa na hiyo reform na mtagombea na kutakuwa na ushindi mkubwa, watu wajiandae kuona mabadiliko makubwa nchini KWA ushindi mkubwa mnaotarajia kuupata kama matokeo ya mabadiliko ambayo lazima yatakuwepo. Hizi ndio lugha za kuongea na watu. Hizi za No reform no Election mziongee maofisini, na KWA mabalozi na kwenye kuwabadana viongozi kupitia taasisi za kimataifa na za ndani ili kama hata isipofanyika reform basi angalau nusu reform.
Mnachofanya Sasa ni kuwazubaisha na kuwakatisha tamaa na hamasa za kisaikolojia wafuasi wenu.
Ni hayo tu.