mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Minjingu Jingu

    "Mama anatosha" Ni ukosefu Mkubwa wa Maadili wa Vijana wa sasa

    Unapata wapi Ujasiri wa kumwambia Baba yako kuwa Mama yako anatosha asiongeze mwanamke mwingine? Zamani ilikuwa ngumu sana kuona au kusikia jambo kama hilo. Jamii nzima itakushangaa. Kwa Wamila au Waislamu wanaruhusiwa wake mpaka wa 4. Wewe unaanzaje kumwambia babayo kuwa mama yako anatosha...
  2. Etugrul Bey

    Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  3. Crocodiletooth

    Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

    Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
  4. L

    Uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika umekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo barani Afrika

    Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
  5. ward41

    USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  6. Kinjekitile Jr

    Kwa hali ilivyo sasa;TUNDU LISSU ni Mkubwa kuliko ata CHADEMA yenyewe!!!!

    Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa; CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc…… Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
  7. Eli Cohen

    Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  8. Mr Dudumizi

    Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  9. Mr Why

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  10. Pdidy

    Mpasuko mkubwa kuukumba chadema....wah kadhaa kujitoa chadema ...

    Hulu zoezi la mjumbee WA kamati kuu kujitoa rasmi Moto umeanza kuwaka huko Kwa ndugu ZETU Na habari za chinichini. KUNA kundi KUBWA la watu wakiwemo wenyeviti kadhaa wakanda na derkl za mitaa waliochaguliwa majuzi kujitoa Hali kadhalika BAADA ya uchaguzi WA mwenyekiti KUNA vitukoo vingi...
  11. F

    Mchakato wa uchaguzi Chadema umedhihirisha kuwa ni chama chenye wafuasi wengi na ushawishi mkubwa zaidi kwa Watanzania kuliko CCM

    Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi mkuu, n.k. Tofauti na CCM, mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi ndani ya CHADEMA umevuta hisia kali...
  12. Ubaya Ubwela

    Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  13. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  14. nasssen

    Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
  15. sonofobia

    Pre GE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

    Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni. Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi...
  16. Charlez kanumba

    Nimfuate vigezo gani ili niwe mfanya biashara mkubwa Afrika?

    Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end niwe tajiri kupitia biashara?
  17. Makonde plateu

    Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

    Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
  18. Mpigania uhuru wa pili

    Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  19. Subira the princess

    Ni kwanini ccm wana upendo mkubwa kwa Freeman Aikaeli Mbowe?

    Wasalaam Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola? Maana kuna kampeni...
  20. nasrimgambo

    Kuna uhitaji mkubwa wa maktaba nyenginezo mpya hapa Dar

    Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea. Kimbilio lao pekee...
Back
Top Bottom