mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. The Boss

    Adui mkubwa wa Manara ni wakati

    Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina. Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila...
  2. GENTAMYCINE

    Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  3. Komeo Lachuma

    Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  4. Pfizer

    Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  5. Komeo Lachuma

    Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

    Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
  6. morechil

    Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  7. JanguKamaJangu

    Seneta Samson Cherargei: 60% ya Wakenya wanaunga mkono Rais aongezewe muda wa kukaa madarakani

    Nandi Senator Samson Cherargei: As we talk today, my phone has over 12,000 SMS and close to 20,000 WhatsApp messages, and I have received so many phone calls, Mr. Speaker. Even the email address of the Senate is almost hitting half a million email messages reacting to my Bill. I want to report...
  8. tang'ana

    Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  9. F

    Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

    kwenye suala la mapenzi,woga wako mkuu ni upi?
  10. M

    Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

    Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani. Inasemekana kwamba kabla...
  11. DR HAYA LAND

    Mwanamke yupo na uwezo mkubwa wa uvumilivu.

    Jumapili njema . Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA. Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au...
  12. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  13. matunduizi

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

    Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:28-). Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa mapepo/majini kuwa yanaogopa nguruwe na products zake? Nikakumbuka ni bwana mdogo Ibirisi maana uongo...
  14. TEAM 666

    Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  15. Pawaga

    Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Habari? Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33. Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili. Ili uweze...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mgodi Mkubwa wa Dhahabu Nyanzaga - Sengerema Kuanza Ujenzi Mkubwa Januari 2025

    MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025 ⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia ●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 ● Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria. ●Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo...
  17. Yoda

    Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
  18. State Propaganda

    Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  19. Y

    Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  20. S

    Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
Back
Top Bottom