Jonas Gerard Mkude (born 3 December 1992) is a Tanzanian footballer who plays a midfielder for Tanzanian club Simba SC and the Tanzania national team. He made his international debut on 23 February 2012 against the Democratic Republic of the Congo.
Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na...
Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude amesema kuwa hata akiamka asubuhi, anakuwa tayari kucheza Dabi ya Kariakoo.
"Ni kama sehemu ya maisha...
Jonas Mkude na Mzamiru waongezwe kikosini. Wana uzoefu na mechi kubwa na ngumu, Wana nguvu na wanaweza bado. Ziko mechi zitawahitaji hasa zile zitakozohitaji kugongana na uzoefu,
Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani.
Muhusika mkuu aliyefanikisha hiyo miamala anadaiwa kuwa ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Simba...
Yaan kama kuna mchezaji nimemheshimu msimu huu n mkude
Mkude anajua fursa
Mkude alipoitwa Yanga, Simba walimbeza sana sana
Wakamdharau lakini akaisaidia yanga
Leo hii viongozi wa mashabiki wanalia mbona wanaochukuliwa na yanga toka simba wanacheza vizuri shida ikowapi?
Haitoshi chamahuyooo...
Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini
Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane alikuja Yanga.
Kila mtu akaongea yakee baana imetoshasasaà arudi alipotoka.
Kisinda anacheza...
Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa.
Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu
Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa...
Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi.
Je, huu ni uungwana?
Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini...
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani.
Na taarifa ya uhakika...
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya?
Mkude kweli Akili hana yaani kama...
Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii.
Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC...
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba.
Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba.
Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.