mkude

Jonas Gerard Mkude (born 3 December 1992) is a Tanzanian footballer who plays a midfielder for Tanzanian club Simba SC and the Tanzania national team. He made his international debut on 23 February 2012 against the Democratic Republic of the Congo.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  2. Erythrocyte

    Kitendo cha Simba kutaka kumpima akili Mkude ni udhalilishaji

    Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana. Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
  3. A

    Kinachotokea kwa Mkude ni kuishi kimazoea

    "Sir Alex Ferguson kwenye Kanuni zake 9 kuhusu Nidhamu naomba nimnukuu kanuni namba 4, "Never ever, cede control" usikubali kupoteza Mamlaka yako mbele ya wachezaji" "Kupitia hii Roy Keane alipokosoa wenzake mbele ya Media basi Fergie alivunja mkataba wake, Van Nisterloy na kipaji chake...
  4. B

    Yanga mnunueni Kahata, Kagere, Ame, Dube na Mkude

    Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba. Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida. Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker...
Back
Top Bottom