Jonas Gerard Mkude (born 3 December 1992) is a Tanzanian footballer who plays a midfielder for Tanzanian club Simba SC and the Tanzania national team. He made his international debut on 23 February 2012 against the Democratic Republic of the Congo.
Hakuna ubishi kuwa Mkude aliwafurahisha wanaSimba kwa miaka 13 mfululizo, aliwatumikia watanzaniaa pia kupitia timu ya Taifa; ni miongoni mwa watanzania muhimu sana. Lakini namna 'THANK YOU" yake ilivyotolewa kwake na Simba ni ushahidi tosha kuwa uongozi wa Simba unamuona Mkude kama mtu punguani...
NIMEKUMBUKA miaka michache tu iliyopita, Simba walikuwa wanapigania maisha yao kwa Jonas Gerald Mkude. Wakati huo mkataba wake ulikuwa unakaribia kumalizika Simba na Yanga walikuwa wanahaha kumnasa Jonas. Simba walilazimika kutoa kiasi cha shilingi 80 milioni kuinasa saini yake kwa mkataba wa...
Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude.
Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa...
Kuna kitu kimepita hapa katikati halafu tunaona kawaida. Jonas Mkude hakuitwa katika kikosi cha timu ya taifa. Tumeona kawaida kumbe ni jambo ambalo kama ingekuwa kwa Waingereza wangelichambua kwa kina zaidi. Najisikia kulichambua jambo hili.
Kwanza kabisa hakustahili kuitwa kwa sababu hata...
Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo!
Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
Simba ikishindwa kupata matokeo uwanjani bila sababu yeyote utasikia shabiki anaanza kuwalaumu Mara Bocco Mara Mzamiru,nyoni na Onyango.
Kwa siku za nyuma ilikua Wawa pia.
Siku za hivi karibuni kaongezeka Mkude na kapombe hata wasipocheza watalaumiwa tu..hili ni kwanini??
Je suluhisho la...
Chei Chei.....
Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu ya Kwetu ni Kuomba tu Simba SC tufungwe ili Safari hii tutoane Roho na Klabu isiwepo tena katika Ramani ya Soka Duniani.
Na taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Mkude Kaachwa na kama vile anatengwa kwakuwa ni Mtu wa Msimamo na hataki kutoa 10% kwa...
Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili.
MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa Simba SC mliokuwa mnataka Sawadogo jana atolewe na aingie Kipenzi chenu Mkude mje na Uchambuzi wenu...
Amani iwe kwenu.
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
Ahlanbik:
Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude.
Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude.
Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara...
Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama Kushindana nae au hata Kumzidi.
Sishangai ndiyo maana wakiwa katika Ndege wakitokea nchini Algeria kucheza...
Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji.
Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
Jana nilipata nafasi ya kuzama Kambini kwa timu ya Taifa.
Nikiwa Bongo mara nyingi napenda kujibanza na watu wa soka ili kujua mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine siyatambui.
Kwa bahati nzuri/mbaya mwamba mmoja hivi kutoka pande za Msimbazi akaingi akiwa amependeza kinoma...
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.
Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya...
Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana!
Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi!
Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.