Mkurugenzi wa Kampuni ya Grace Products, Dk. Elizabeth Nyamizi Kilili, jana Jumanne, Machi 8, 2022 alitwaa tuzo ya Super Women katika hafla kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Dk. Elizabeth ametwaa tuzo hiyo iliyotolewa na waandaaji, Wasafi Media katika Siku ya...