mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Taarifa: Makamu wa rais, Dkt Mpango akimpa Pole Mkurugenzi Mkuu wa Usalama Aliyefiwa na Kaka Yake

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdory Mpango amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa Diwani Athumani Msuya na kumpa pole kufuatia kifo cha Kakaye aitwaye Bisward Msuya kilichotokea Agosti 03, 2021
  2. BestOfMyKind

    Busara za Mkurugenzi mteule halmashauri ya Mkalama huko Singida Bi. Mwenda

  3. N

    Mkurugenzi Tunduru aanza vitisho

    Kama mnavyoweza kukumbuka wanajamii forums kuna taarifa iliandikwa ktk jukwaa hili kuhusu Watumishi wa Halmashauri ya willaya ya Tunduru kuwanyanyasa walimu wapya. Kwamba, walimu waliokuwa na tofauti kidogo katika majina yao walilipishwa Shs 82,000/ kwa ushirikiano kati ya ofisi ya Utumishi na...
  4. Shujaa Mwendazake

    TAKUKURU Je, ni sahihi aichofanya Mkurugenzi wa Kasulu?

    Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12. Swali: Je, alichofanya ni sahihi...
  5. Suley2019

    TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  6. comte

    SOS: Kaimu Mkurugenzi wa Bugando ujiuzulu kwa uzembe na mapuuza

    Jana kaimu mkurugenzi wa Bugando amepinga MWANO kuwa anaupungufu wa mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksjeni kwa wagonjwa ambao kwa madai yake anasema wameongezeka. Mkurugenzi huyu akubali kuingizwa kwenye orodha ya wauwaji kwa sababu zifatazo:- 1. kama mwaka mmoja uliopita akikataa...
  7. T

    Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Mwalimu ambaye aliwahi kudhulumiwa fedha zake za uhamisho na akajibiwa vibaya na mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia juzi na amezikwa leo mkoani Arusha. Mwalimu huyo alinyimwa fedha za uhamisho na alipofika kwa mkurugenzi alijibiwa vibaya na kupoteza fahamu kisha kupelekwa hospitali kwa...
  8. B

    Ni kiongozi gani hubeba maono ya mkoa au jiji - ni RC, RAS au Mkurugenzi?

    Napata Wakati mgumu kujua kimfumo ni Kiongozi yupi anayebeba maono au vision nzima ya mkoa au jiji? Najiuliza kwa sababu juzi wameteuliwa wakuu wa Mikoa na niliamini wao ndio wasimamizi wa malengo, maono na mipango ya Mkoa. Kinyume chake ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma pekee ndiye aliyetoa hotuba...
  9. Sir John Roberts

    Moshi: Fedha zilizotengwa kununua Bastola ya Mkurugenzi kurejeshwa

    Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Juma Raibu ameagiza uongozi wa manispaa hiyo kurejesha Fedha kiasi cha Tsh.3.2 milioni zilizotengwa kwaajili ya kununua Bastola ya Mkurugenzi wa manispaa. ======= Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya...
  10. GeoMex

    Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  11. Regent

    Mkurugenzi wa TikTok ajiuzulu ilia apate muda wa kusoma vitabu

    Mkurugenzi wa kampuni ya TikTok, Zhang Yiming (miaka 38) amejiuzulu wadhifa wake huo. Zhang mwenye utajiri wa TZS Trilioni 101. Zhang amesema amechukua uamuzi huo ili apate muda mwingi zaidi kujisomea vitabu na kuota ndoto nyingine.
  12. Jaji Mfawidhi

    Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

    RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣. Je, nini kiini cha mgogoro huo unaodaiwa kumalizwa na Makalla? UTANGULIZI: Songoro mnyonge ni Diwani wa CCM akitokea Mwananyamala...
  13. n00b

    LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  14. The Sheriff

    RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana. Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia amteua Brigedia Generali Nduku Mabele kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi kuwa Mkurugenzi wa SUMA - JKT

    Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
  16. Roving Journalist

    Kisutu: DPP Biswalo, awaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo Alhamisi imewaachia huru, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso Tabura. Hatua hiyo imefikiwa Baada ya aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga kutokuonesha nia ya kuendelea na kesi dhidi...
  17. J

    Je, tatizo ni Biswalo Mganga au Sheria inayompa madaraka makubwa Mkurugenzi wa Mashtaka? Rugemalila mbona alimgomea?

    Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi. Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria. Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili. Ramadhan kareem!
  18. S

    Kuongeza wigo wa kodi na makusanyo: Serikali ibuni vyanzo vipya na Mkurugenzi Mkuu wa TRA na waajiriwa wapya wa TRA waajiriwe kwa mikataba

    Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
  19. THE BIG SHOW

    Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
  20. mediaman

    Mkurugenzi aponea chupuchupu kuungua moto; gari la mamilioni lateketea

    Baadhi ya wateja wangu hupenda kuniita Mkurugenzi ingawa sina sifa za kuitwa hivyo. Nafurahia zaidi kuitwa Mkulima. Haya, fuatilia sasa kwa makini ujue mazito niliyokutana nayo safarini. Hii ni habari ya kweli kabisa, ila kama wewe ni mwepesi wa kulia na kutoa machozi, usiendelee kusoma habari...
Back
Top Bottom