mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

    Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha na ulevi wa Madaraka . Kesi hii iliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Mh Saed Kubenea kwa...
  2. Replica

    Mkurugenzi TPDC abadili gia angani, asema hakuna uhaba wa mafuta nchini

    Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda...
  3. MPARE KIBOGOYO

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021. ==== UPDATES: ==== Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii...
  4. Chachu Ombara

    Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
  5. Jesusie

    Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

    === Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili...
  6. beth

    UTEUZI: Dkt. Nicolaus Herman Shombe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NDC

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Nicolaus Herman Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Anachukua nafasi ya Marehemu Prof. Damian Gambagambi aliyefariki akiwa katika nafasi hiyo. Kabla ya kuteuliwa, Dkt. Shombe alikuwa Kamishna wa Mipango, Wizara ya Fedha
  7. Doctor Mama Amon

    Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA, Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution. Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo. NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA. Nimechukua namba za customer care staff...
  8. T

    Mkurugenzi wa Geita anasema anapenda kupumulia watu kwa nyuma.

  9. Tanzania Railways Corp

    Mkurugenzi Mkuu TRC akutana na Balozi wa Rwanda kujadili mradi wa SGR Isaka - Kigali

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Charles Karamba na kujadili kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Isaka – Kigali, mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mkuu TRC...
  10. nyamadoke75

    Kimeumana! Gambo amshukia kama mwewe mkurugenzi wa jiji la Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi. Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi...
  11. J

    Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast atembelea Posta Tanzania

    MKURUGENZI MKUU WA POSTA IVORY COAST ATEMBELEA POSTA TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU), Ndugu Isaac Gnamba Yao ametembelea Makao Makuu ya Shirika...
  12. T

    Kwanini Mkurugenzi aibe mabati licha ya Mshahara mnono alionao?

    Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna...
  13. msovero

    Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  14. M

    Kwenu CRDB Bank

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuendelea kuwepo katika biashara ya fedha katika kipindi chote na kuendelea kuwa miongoni mwa Bank bora Tanzania Baada ya Kimei kuondoka Bank iliendelea kuwa strong chini ya mkurugenzi mpya aliyekuwa CRDB mwanzoni na kuondoka kwenda NMB na baadae kurudi kuwa...
  15. figganigga

    Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
  16. beth

    UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
  17. Q

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

    Morogoro. Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021...
  18. J

    Mkurugenzi atoa Ushuhuda jinsi TBS ilivyomuhudumia kwa mara ya Kwanza

    Dkt.Marcus Alban Mkurugenzi wa Kusoma African Limited akitoa ushuhuda na uzoefu jinsi alivyopatiwa huduma na Shirika la Viwango (TBS) katika sherehe za kutoa leseni za kutumia alama ya ubora kwa wafanyabiashara hivi karibuni.
  19. Mtyela Kasanda

    Kuhamishwa kituo Mkurugenzi wa Rungwe ni kwa kushindwa kuwasimamia anaowaongoza

    Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi. Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake. Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya. Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
  20. Informer

    Vodacom Tanzania MD, Hisham Hendi resigns

    August 4, 2021, Dar es Salaam: Vodacom Tanzania announced today that Managing Director (MD), Hisham Hendi, has resigned with effect from 1 November 2021 having spent five years with the company, including two and half years as MD. Mr. Hendi will remain within the Vodafone Group of companies...
Back
Top Bottom