mkutano wa ipu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanzania wang'ara mkutano wa umoja wa mabunge duniani (IPU)

    Elizabeth Milaho, Mratibu wa program kutoka Akili Tulivu Initiatives amekuwa miongoni mwa vijana wa kitanzania waliopata fursa ya kutoa wasilisho kuhusu masuala ya changamoto ya afya ya akili katika Mkutano wa 153 wa IPU unaoendelea jijini Arusha. Elizabeth katika wasilisho lake amewaomba...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia ahimiza usimamizi wa rasilimali za umma katika mkutano wa IPU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanatarajia wawakilishi wao kulinda maslahi yao na kuhakikisha mahitaji yao yanazingatiwa katika maamuzi. Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa IPU Arusha wafungua fursa kwa wafanya biashara na wahifadhi wa utamaduni

  5. JamiiForums Tanzania Wageni wafurahishwa na mapokezi jijini Arusha mkutano wa IPU

    Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9, 2026 pamoja kuipongeza Serikali na Bunge la Tanzania kwa maandalizi makubwa ya Mkutano huo ambayo mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ