Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake...
TANESCO inapaswa kuandaa mkutano wa wazi na wananchi, hata kama ni pale Uwanja wa Taifa, ili kuzungumza na kutatua tofauti zilizopo na Wananchi ambao ndio wateja wenu. Matamko mnayotoa mara nyingi hayajibu maswali kikamilifu, na inawezekana tunawalaumu kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.