PostGE2025 CHADEMA iombe kukutana na tume ya uchunguzi ya Samia katika mkutano wa wazi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.
 
kwahiyo ndiyo maana kuna wimbi la polisi linaendelea kuwakamata viongozi na wanachama na wengine kuwaua maeneo mbalimbali nchini wanacheza ngoma wasiyoijua
 
Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.
Akili za kuchambia misikitini hizi 👆🙄🙄
 
Chadema wakiungana na tume haramu ya samia na wao tutawatambua kama wasaliti wa vijana.

Hii mbungi sio ya chadema ccm act wala chauma.

Ni mbungi ya vijana kuisafisha nchi na kutafuta katiba na kuitisha uchaguzi mpya ili baada ya hapo chama kitakachoingia madarakani kitawale kwa mujibu wa katiba na sheria na sio kama sasa nchi inatawaliwa kwa mujibu wa Samia na genge lake la kifisadi.

Hii mbungi ya vijana tuachiwe wenyewe tusafishe nchi yetu.

#9D tunatoka.
 
Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia kuchunguza kinachodaiwa ni vurugu za October 29 wawaeleze nini kilichosababisha maandamano hayo. Pia watake starting la mkutano huo na tume hiyo uwe wa wazi urushwe hadharani kupitia vyombo vya habari mubashara. Timu ya CHADEMA iwakilishwe na Lissu, Mnyika, John Hech na Godbles Lema.

We jamaq ni MPUMBAVU sana
 
Hatambuliki
Haitambuliki
 
Wakutane na Tume iliyoundwa na Mtuhumiwa ili iweje?
 
Kwenu CDM,Kitendo cha kukubali kukutana na hiyo tume haramu ni indirectly kukubaliana na yoliyotokea kabla,wakati na baada ya UCHAFUZI,mtego wa kijinga sana huo mnawekewa,maamuzi ni yenu
 
Back
Top Bottom