mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Mwinyi augua, ashindwa kuhudhuria mkutano wa CCM Dodoma

    Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa CCM baada ya kuugua mafua makali akiwa tayari yuko jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu leo Desemba 6, 2022 wakati akisoma salamu zake katika mkutano mkuu wa 10 unaoendelea...
  2. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, msiwapigie kura wagombea ambao ni Wabunge au Mawaziri

    Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo. 1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi. 2. H/maushari kuu ya CCM wilaya. 3. Kamati ya Siasa wilaya...
  3. Nawatakia heri CCM katika Mkutano wao Dodoma

    Hapa nataka kuandika something like an imaginary speech kuwaalika wajumbe. Kama anavyofanya Xi Jin Ping. Wengine labda watataka kuiendeleza. Karibuni Dodoma wajumbe wote. Tunakutana katika hali ambapo changamoto nyingi zinatukabili, kwa mfano vita ya Ukraine ambayo inayumbisha uchumi wa...
  4. T

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  5. Harufu ya Rushwa CCM Mkutano Mkuu

    Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM. Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila...
  6. J

    Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  7. Rais Samia: Watunza kumbukumbu mnapaswa kutunza siri za Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA leo tarehe 27 Novemba, 2022 Akifungua mkutano huu, Rais amewashauri wanataaluma wa kada hii...
  8. J

    Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  9. B

    Benki ya CRDB yadhamini mkutano wa mabalozi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (kulia) akizungumza na baadhi ya mabalozi walipotembelea banda la Benki ya CRDB katika maonyesho yanayoenda sambamba na Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mabalozi...
  10. Kikokotoo chavuruga mkutano CWT, PSSSF

    Mkutano kati ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) umevunjika baada ya kuibuka kwa hali ya kutoelewana. Sababu za kuvunjika kwa mkutano huo ni kikokotoo ambacho baadhi ya wajumbe wa CWT walitaka mjadala urudi upya mezani katika sheria ya...
  11. L

    CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
  12. Rais Samia ashiriki mkutano wa COP27 nchini Misri. Awakutanisha marais 11 kujadili umeme

    Leo tarehe 07 Nov. 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania alishiriki mkutano wa 27 wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huo umefanyika kwenye mji wa Sharm El Sheikh. Rais Samia ameambatana na Waziri wa mambo ya nne na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Tax. --- Rais...
  13. B

    Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

    07 November 2022 Sharm El Sheikh, Egypt MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022...
  14. Bunge la 12 : Mkutano wa 9 Kikao cha 5 ni aibu - why viti ni vitupu, wabunge ni watoro?

    Team, Hi! Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu? (a). Wabunge wanadoji vikao? (b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya bunge kipindi hiki cha vikao vya bunge? (c). Posho za vikao kwa wabunge hao zinalipwa kwao au...
  15. L

    Mkutano mkuu wa 20 wa CPC una umaalum gani kwa dunia?

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
  16. Q

    Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
  17. J

    KUMRADHI: Mkutano wa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Shaka Hamdu Shaka na Waandishi wa Habari umeahirishwa

  18. Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
  19. L

    Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  20. Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia Nov 1-2, 2022

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…