Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe.
Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini:
"Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes."
Nadhani alikuwa kachoka.
Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani.
Kwa hakika...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK
Historia ya African Association imekosewa kidogo.
African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA).
African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ?
Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini?
Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
Hakika CCM ni chama kubwa sana.
Lakini ninawaza tu kuwa:
1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika
2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu.
Gharama za wasanii:
1. Usafiri
2. Malazi
3. Chakula
4. Posho
Ninajua hizo...
Fadhila mfadhili mbuzi.
Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA.
Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi
Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu.
Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini Dodoma, Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.
#kaziiendelee
#tunaendeleanamama
#MkutanowaCCM2025
Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu
Si mbaya tukayasahihisha
Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma
ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025
Naamini tutaona tofauti
Thx
Wakuu,
Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.
Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?
Mbowe ajitafakari sana!
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema:
“Sisi vijana wa vyama...
Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania
Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.